@wedding_tz: #wedding#creatorsearchinsights #tanzaniatiktok #harusi #weddingtanzania🇹🇿

Wedding_Tz
Wedding_Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 02 July 2026 21:53:58 GMT
149172
9006
542
2042

Music

Download

Comments

naymahealthcare0
👑⚜️𝐈t𝐒 𝙽𝙰Ɏ𝙼𝙰 E𝐋ItE꧁💎꧂ :
Mimi naamini wangu atakua zaidi ya huyu mungu tena na umpe pesa nyingi ♥️♥️♥️
2026-07-02 21:58:16
374
mamzy430
mamzy👻 :
kwan bwana harusi ana mke🥺
2026-07-03 07:07:03
58
priscarahhi
Prisca Rahhi :
naomb tupeane connection
2026-07-03 15:58:08
0
avey6064
avey :
ukiona zawadi n gari jua vingine vyote vipo sawa
2026-07-03 06:36:46
108
neema.mlaponi
Neema Mlaponi :
Mungu baba kama Mimi ni Korosho nipeleke Mtwara
2026-07-03 06:55:21
180
itc.tronnie
It’s tronnie💕 :
Jmn n hizi hizi tu i love ue beib au kuna mengine😂😂
2026-07-03 06:39:34
90
christa3314
@Christa🥰❤️ :
Alafu kuna Mimi nilieachwa kisa kuomba pesa ya Gauni 😥
2026-07-03 11:05:08
63
happie1690
happie@16 :
Me sijawai nunuliwa ata simple ya chuo
2026-07-03 08:33:55
30
user81047849785315
jullie❤️ :
Baba nipe hata wa kunizawadia guta nitashukuru🙌
2026-07-03 16:14:38
10
happyness.mlay1
Happyness Mlay :
Najiungamanisha na hii baraka katika jina la yesu
2026-07-03 17:09:53
10
velmirabella
𝑣𝑒𝑙𝑚𝑖𝑟𝑎😍💕 :
Mungu huyu ndo naemtaka akiii
2026-07-03 05:39:34
34
amelda8993
Amelda :
Ee Mungu najiungamanisha na baraka hizii
2026-07-03 05:17:32
45
_gifted_2
____Gifted____.🦋🌸 :
MUNGU KAMA MIMI NI MPUNGA NIRUDISHE IFAKARA🥺
2026-07-03 10:25:19
20
nielgpeter
NIELG🌹 :
Najiunganisha na hizi baraka
2026-07-03 05:00:08
29
user39980774812217daisy
Baby Girl🍒 :
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Ee mungu sikia kilio changu nipe mwanaume kama huyuuuu🙌🙌🙌
2026-07-03 12:14:06
9
salmasnvwdi
@Sanchi :
eeh mungu kama mim ni korosho nipeleke mtwara🥺
2026-07-03 08:00:30
15
user591275180013
tinah :
Aaaaahhhhhh
2026-07-03 14:40:11
0
officialdaxkhalif
chrisse :
eeeeeh!!!! utee baba uteee!!!
2026-07-03 18:05:38
0
neemasabeck1
CEO of Ney Collection :
Kwan nyie huwa mnaombaje hayo maombi yenu labda huwa naomba vibaya na sijui
2026-07-03 11:43:29
7
i.r.e.ne_5
irene :
nanikijana si mbaba embu tumwombe sana mungu
2026-07-03 05:40:17
23
williqmwinnie79
winnie🥰 :
sasa kama kweli kabsa hawa wakaka wapo hapa tanzania na mtupi connection ,bas ngoja twende na mario mombasa 😭
2026-07-03 11:35:29
6
lyaan_girl
lina gril :
Moyo wangu tulia hii so kweli ni Ai sawa eee
2026-07-03 07:09:23
9
victoria.mamen
Victoria mamen :
Kuna mm niliahidiwa kuenda Dubai tangu 2013 mpaka leo 26 labda dunia ikiumbwa upya😭
2026-07-03 03:09:12
36
kimjackline
kimjackline🇹🇿 :
Kwani hawa wanaume wapo wapi mbona mimi sijui🥺🥺🥺
2026-07-03 06:39:19
11
elizabethmussa17
Lizzy2002🥀🦋 :
Mungu naomba kama huyu ila mimi ni msukuma 🥹🥹🤲🤲
2026-07-03 07:24:13
6
To see more videos from user @wedding_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About