@kijanakataakutumika: Kuna msemo unasema hapa dunia tunaishi kwenye mfumo wa "Survival of the fittest" yani ukiona umepata ujue kuna mtu kapoteza na katika kutafuta lipo kundi kubwa ambalo halijali wangapi wataumia ili kutimiza malengo yao. Kama hawalipwi kwenye harakati Mere angemwambia Jakaya hakuna hela inayopatikana kwenye harakati, Hakuna nchi inafadhili harakati lakini ukimya wake umejaa majibu mengi. Leo unaona Da Mere eti anamkaanga Kikwete! kweli maisha ni gwaride Kikwete huyu aliyempekeka Bungeni awasaidie Watanzania kupata katiba mpya akaishia kudaka posho na kulala mbele. #SiasaTZ #SiasaZetu #TheShepherd30