@b2btz.nguvu.ya.bu: Bei ni 1,000 Ijue nguvu ya buku Namba ya mawasiliano ni hii tu +255 754 934 662 Tunapatikana Mwenge Mtaa wa Jamirex Ni karibu kabisa na stendi ya mwenge ukifika stendi umefika Bolt B2btz Nguvu ya Buku
B2btz | Nguvu ya Buku
Region: TZ
Friday 03 July 2026 02:08:06 GMT
Music
Download
Comments
neemaluena✨ :
Foleniii jamaniii yooh🙌
2026-07-03 07:34:49
20
sabra hassan :
huku kwa buku ndo kutamu wapi hiii
2026-07-22 09:07:44
1
KisinzagloryMartha :
mko wapi
2026-07-04 11:02:40
2
VL💫🤍 :
Wapo Mwenge ndani Stand
2026-07-03 15:30:32
5
realnisha🦋 :
Ni wapi
2026-07-03 10:33:39
1
kuku shamba tz :
mpo wap
2026-07-03 10:45:02
0
@kessie_official :
apaa napajua n kwel vit buku
2026-07-04 16:37:28
1
sajdat_wedding_dresses :
mtuletee na zanzibar jamani nasisi tu enjoy nguvu ya buku
2026-07-10 11:33:56
2
Saidi Hasani :
mkoani mnatuma
2026-07-13 08:18:56
0
Babygirl :
sehemu gn
2026-07-03 15:15:15
1
zidane :
jamani wapenda vitonga tunakanyagana kule 3000 huku 1000 mtatuuwa 😆😆😆 jamani 😆😆😆
2026-07-19 20:26:59
1
mina :
ukowap
2026-07-03 10:01:17
0
Dee Der Prince :
nakuja ofisini kwenu na hii video yenu na mwanasheria wangu asa ole wenu 😂😂😂
2026-07-13 07:56:39
1
Nasrah..🩷🖇️ :
Zanzibar jamani
2026-07-10 22:43:09
1
madamsara7 :
Bei ya huwa kika shingapi ni elufu 1000 au elufu 2000 jumla mna huza pia
2026-07-05 07:43:55
0
fric :
ukifika hapo unakuta ni vile vinavyouzwa vitatu buku mtaani kwako,daah jamani mnajua kutudanganyaaa😅😅🙌
2026-07-13 08:01:37
1
cute asha😘😘 :
mwenge n kubwa maeneo yap
2026-07-03 12:49:36
0
MisterAbinho :
mhhh😳😳😳
2026-07-24 21:10:44
0
back to sender :
manatuma
2026-07-22 11:02:36
0
kipini🦋🌺🦋 bland :
Mpo wp
2026-07-23 16:28:26
0
mariaanton3394 :
napataje
2026-07-22 08:02:45
0
miss lynne💖💦 :
wapii apo
2026-07-03 05:54:42
0
To see more videos from user @b2btz.nguvu.ya.bu, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.