@truongbinhthuongg: Ai là nạn nhân #truongbinhthuong #xuhuong #teamphucsyno

Trường Bình Thường
Trường Bình Thường
Open In TikTok:
Region: VN
Friday 03 July 2026 04:40:54 GMT
372993
4045
46
551

Music

Download

Comments

_hunghienhoa.03_
Hùng Hiền Hoà :
Tính ra khúc cuối bà kia lời nhất rồi đó
2026-07-03 04:50:36
101
beater.05
Lục Mặc :
cái cần quan tâm là mũ bảo hiểm ở đâu ra mà nhiều z
2026-07-03 10:17:04
33
anlanhlan
An Lành Lặn :
Xem nãy giờ 30 lần rồi mà vẫn ko hiểu ai lời luôn á!?
2026-07-03 04:54:26
11
thichtudo686868
Không Gục Ngã :
Tóm lại là có người được, sẽ có người mất, có người no sẽ có người đói, có người giàu sẽ có người nghèo, có người sinh ra cũng có người mất đi, có ánh sáng sẽ có bóng tối, ai cũng thích sung sướng giàu sang thì đau khổ nghèo đói dành cho ai, adidaphat🥺
2026-07-03 10:20:47
3
habong291098
Hà Bông :
Đâu ra lắm mũ thật cơ😂
2026-07-04 09:42:11
0
til.nguynzero
Til Nguyễnzero :
2026-07-04 01:42:11
0
dieudang2209
Diệu dàng :
Thua r
2026-07-03 05:43:50
1
fbipolice007
Maxim Nhâm Nhi :
▶lIlIlIIllIlI 1:00
2026-07-03 15:40:02
0
vn.ngn.thang
Văn ngôn Thang :
hay
2026-07-03 16:46:38
0
truong.hi.0_o
𝙏𝙧𝙃𝙞 :
thứ tao quan tâm là cái mũ bảo hiểm đâu nhiều thế
2026-07-03 13:45:41
1
hoangtri94
Hoàng Trí 74B :
Rồi xe ai 🙄🙄
2026-07-03 09:10:19
0
fuuuuuuuuu.8
Im :
một vòng luẩn quẩn luân hồi
2026-07-03 09:14:45
0
so.pham0
So Pham :
hii
2026-07-04 03:07:01
0
.hieubt.08
đố bt là ai đấy :
mũ nhiều v
2026-07-03 13:59:19
0
zinbong67895
ZinBong6789 :
2026-07-03 11:54:33
0
hihi22972
hj :
vô hạn mũ bảo hiểm à
2026-07-04 02:37:17
0
_hunghienhoa.03_
Hùng Hiền Hoà :
Ông áo đen diễn tự nhiên z
2026-07-03 04:50:49
5
anlanhlan
An Lành Lặn :
Cuối video tội luôn
2026-07-03 04:50:07
1
trn.ngniee
Trần Ngâniee :
sao a rời xnhau z
2026-07-04 10:51:28
0
votam656
tôi là gay :
xe nhiều mú vậy
2026-07-03 10:50:54
0
dodangtruongne
Review Trường Bình Thường :
Chúng ta có 4 vấn đề lớn ở đây 😌
2026-07-03 06:34:30
0
nhungnhenhang53
Nhung nhẹ nhàng :
Tính ra ai trong video này cũng lỗ hết có ông Trường là huề vốn
2026-07-03 05:37:15
1
imkhoi.hehe
Khoi kimochi :
Sớm
2026-07-03 04:50:00
1
chodenho1
3 bò 1 yếu :
đầu
2026-07-03 04:47:39
1
thu.le422
tia nắng hoàng hôn :
ông áo đen với ba áo trắng là có lời
2026-07-04 01:33:20
0
To see more videos from user @truongbinhthuongg, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Mwezi April mwaka 1974 Steve Jobs (akiwa kijana wa miaka 19 tu) alifunga safari ya MIEZI 7 toka Marekani kwenda KUHIJI India na ili kuonana na kujifunza SIRI ZA KIROHO kwa Guru mmoja wa India aliyeitwa NEEM KAROLI BABA (jina jingine MAHARAJ-JI). Safari hii aliianza baada ya kusoma kitabu (BE HERE NOW - cha Ram Dass) ambacho kiliongelea kanuni za mafanikio za Wahindi na kuorodhesha nguvu za kiroho na mafundisho ya NEEM KAROLI BABA. Bahati mbaya alipofika India aliumwa kwa hiyo akasimama safari kwanza mpaka alipopata nafuu… na pia kwa sababu ya maisha ya miaka hiyo na kukosa usafiri wa haraka kama leo na mawasiliano alipofika India na kuanza kusafiri mpaka kufika huko milima ya Himalaya na kufika eneo husika wakakuta temple ile haina watu na kumbe NEEM KAROLI BABA alikuwa amefariki mwaka wa nyuma yake mwezi September yaani September 1973! Steve Jobs alikuwa very disappointed. Alihisi atakosa nguvu za KIROHO alizoenda kusaka! Lakini kwa namna nyingine alizipata! Story short alirudi Marekani akiwa alishanyoa nywele na akiwa anaamini vitu vipya na ikiwemo MINIMALISM na ZEN BUDDHISM na mengine mengi ikiwemo YOGA. Roho ile na maarifa aliyopata huko India ndivyo vilipelekea TAREHE 1 APRIL, 1976 akazindua kampuni ya APPLE na leo ni GIANT COMPANY duniani.  Miaka 11 iliyopita (2015) Mark Zuckerberg akiwa kwenye mkutano na Waziri Mkuu wa India Narendra Modi alimwambia huyo Waziri Mkuu wa India kuwa mafanikio ya Facebook yana mchango wa India kwa sababu alipokuwa ameanzisha Facebook ikiwa Ina struggle sana kama kampuni changa alienda kupata ushauri kwa Steve Jobs nini cha kufanya na Steve Jobs akamwambia aende India kwenye ile Temple (KIACHI DHAM ASHRAM) na Zuckerberg akaenda HIJA kwenye hiyo TEMPLE pia na alitoka na nguvu za KIROHO zilizomfanya kuwa clear na VISION yake na leo META ni giant among the giants of the world.  Wakati nasoma MEMOIR ya Phil Knight (SHOE DOG) in 2020 nili take note kuwa safari zake za Japan na Greece na sehemu zingine enzi anaanzisha BLUE RIBBON then NIKE zilihusisha mambo ya KIROHO. Na kama nilivyosema kwenye video hata neno NIKE ni jina la muungu wa kigiriki. So usishangae kuona brand imesimama. BRAND ZOTE KUBWA zina ROHO nyuma yake hapa duniani. Jipange. Dunia inaendeshwa kwa ALTARS. Lazima ubadilishane MALI kwa ROHO. Sisi wakristo tuna andiko maarufu sana: “BARAKA YA BWANA HUTAJIRISHA, WALA HACHANGANYI HUZUNI NAYO” (Mithali 10:22) So kwa Mungu wangu utajiri source yake ni BARAKA YA MUNGU. Hiyo ndo nitatafuta. Siyo pesa wala umaarufu. Pesa na umaarufu ni MATOKEO ya wapi ulipeleka ROHO. Dunia ina miungu mingi na Mungu hajataka miungu isiwepo. Lengo lake ni ili umkubali yeye out of CHOICE siyo kwa kuwa huna choice. So jua miungu ipo mpaka mizimu na shetani yuko LIVE kabisa na Mungu wa kweli yupo na wote WANAFANIKISHA. Ni juu yako ku chagua. Ila utakayeamua AKUFANIKISHE umechagua na kumpa roho yako!  Hakuna katikati. So usitamani tu kutajirika. Utajiri unakuja na POWER na INFLUENCE. Dunia haiwezi kukuruhusu uwe na hivyo vitu viwili kizembezembe! Lazima uwe na spiritual GROUND.  Mafanikio makubwa yote kampuni zote kubwa na MATAIFA MAKUBWA YOTE kuna mahali KIROHO wame exchange something far more valuable. Teknolojia zote serious zenye impact hazijatokana na akili tu bali watu waliokubali kufungua milango ya KIROHO ili ulimwengu mwingine upate access ya ku control na ku influence dunia. Ndo maana unaona kila mtu anataka vitu vya BRAND FULANI siyo bure kuna nguvu kubwa ya KIROHO. Unaona kuna watu wana nguvu kuliko SERIKALI.  Lengo langu si kukuogopesha bali kukufungua macho ujue na UJIANDAE. Unatakiwa kuwa vizuri na Mungu wa mbinguni. Ukiamua kuwa Mungu si muhimu basi ndo utapata kila kitu lakini ROHO utakuwa umeuza long time. Yesu akasema RHETORICALLY kuwa Itamfaa nini mwanadamu akiupata ulimwengu wote kisha akaipoteza nafsi yake?  Kuna watu wana Mali ili walikosea kuzipata. Zinawatesa. Usiwe miongoni mwao. Jua kusudi lako. Mtafute Mungu. Then you’ll be good to go! Semper Fi, Mr. Muhozya

About