@mabilikamachinery_ltd: 🌽🚜 Hivi ndivyo Mabilika Machinery and Innovation Ltd tulivyoshiriki kwenye Maonyesho ya Sabasaba Bungeni - Jijini Dodoma. Moja ya vivutio vikubwa ilikuwa trekta yenye mashine ya kuvuna mahindi yenye uwezo wa kuvuna ekari 6–7 kwa siku. Teknolojia inayobadilisha namna mavuno yanavyofanyika na kuvutia kila aliyefika banda letu. Asante kwa kila mmoja aliyefika kututembelea na kujionea teknolojia zetu kwa ukaribu. Wakulima mnakaribishwa Mabilika Machinery and Innovation Ltd kwa mashine bora na za kisasa 📞/WhatsApp 0798 399 479 📍Goba, Dar es salaam #MabilikaMachinery #SabasabaDodoma #KilimoChaKisasa #MashineZaKilimo #CornHarvester
safi sanaaaaaa kitu nachokipenda nikuona taifa linaweza kufanya ubunifu kam huu🔥🔥🔥
2026-07-03 07:09:52
25
Mahmoudjr112 :
we must be proud of ours, good start
2026-07-04 10:24:30
2
ObbyMiles :
Izo chain mmezijaza hapo mbele hazina hata box vp swala la vumbi na kokoto na usalama wa watumiaji na zinapatikana wapi zikikatika?
2026-07-03 16:06:16
4
CHRISPINE IMANI :
apo kupata spea ndiyo changamoto
2026-07-03 11:39:01
8
sing@12 :
ma broo ni ajirin bc mm naweza tengeneza injini kabisa from scratch
2026-07-03 09:53:17
5
Ngonifaceless channel :
Hizo ndio elimu tunazotaka sasa sio za Bee keeping and education
2026-07-03 05:31:01
13
POT &PLANT HUB :
kwani hiyo mitambo anazalisha nani?,ni vizuri kujua kutengenza machine pia
2026-07-03 08:45:31
5
Sichura Nyara :
trekta baya hvo😃
2026-07-03 19:05:15
1
King Asa :
we no longer dreaming
again keep it up guys.
2026-07-04 11:07:57
1
stevooooo :
hivi ndo vitu and creativity should be during saba saba
2026-07-03 08:17:02
4
Cosmas Mathias Anthony :
safi sana. good 👍
2026-07-03 07:30:16
3
yasinlambada1517 :
Hongera sana kwa kujaribu … keep it up
2026-07-03 13:24:41
3
patrickahayo :
Hizo chain zq hapo mbele haribu kupata njia nyngine kufanya transmissiom au chain guard
2026-07-04 08:47:28
2
Matendomgm :
good ,
2026-07-03 12:13:49
1
Isaya Ngosha :
jamani msipende kukosoa kazi wakati upo mwanzo Zaid shaurini Hawa watu kazi yao ni nzur sana
2026-07-04 07:26:04
2
Big 🌟 FUTURE :
Kuhusu Spea inakuaje
2026-07-03 20:46:50
1
BRYAN BARABONA :
keep it up bro
2026-07-04 08:13:45
0
Abdulmajid Mlala :
mashaallah mungu awazidishie
2026-07-03 06:53:13
3
cha :
Hii nimeipenda hasa kwa taifa letu tumechelewa sana. mfikirie zaidi kutumia za gas, baadaye battery na baadaye iwe computerised kwa maana itaingia shamba utaiprogram iingie shambani ilime yenyewe na mwishowe irudi parking. Hili eneo uwekezaji wake ni mkubwa mno mashine ni nyingi mno hongereni sana
2026-07-03 16:27:18
0
𝕊𝕠𝕦𝕕 bo𝕪@% :
fungus awe panoramic nawe
2026-07-03 12:50:52
1
john seleli :
safi sana haua ndiyo tunayataka
2026-07-03 09:34:58
1
Jacob Mwamende :
safiiiiiii sanaaaaaaa mkulima na Tanzania hoyeeee
2026-07-03 09:19:47
2
galaxy voice :
material zote mmezinunua dukani kuna ubunifu hapo kweli au mmefanya kuunganisha tu
2026-07-05 08:29:41
1
Jose Mmanga(pepe madenge) :
tunaomba tulione likivuta ardhi,
2026-07-04 19:29:52
0
To see more videos from user @mabilikamachinery_ltd, please go to the Tikwm
homepage.