@chibu_pattoh456: #tiktokeastafrica🇺🇬🇷🇼🇧🇮🇰🇪🇹🇿 #mwangaza💡 #tiktok ##jifunzekitu

Chibu_pattoh456
Chibu_pattoh456
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 03 July 2026 05:50:22 GMT
545727
53782
267
4796

Music

Download

Comments

1kuriancuttie
🍷it'z Phellah ☠️🍷 :
kuna mwenye ameintroduce more than 10🤣🤣🤣
2026-08-20 18:58:46
0
veronicayusuph6
Nasrah✨🦋❤ :
alintambulisha akaniacha😂😂😂😂
2026-08-19 10:26:43
24
anniahgibxon360
🫦 Embbian 💝princess 👑 :
Amentambulisha ndio ..... lakini dharau anifanyia 😔😔😔......
2026-07-05 19:47:12
49
reggybony
phoebe :
Mmmmmmmh ww wenzio tumetambulishwa na tumeachwa
2026-08-19 22:49:00
3
kamba54321
🦋ÎTZ LÉẞH🦋📍 :
uogo guys niulizeni mm🙌🙌🙌
2026-07-05 21:21:00
14
hildadamas85
Hilda Damas :
Amina naomba iwe hivyo🙏🏾
2026-07-03 18:05:18
20
tatgmail6
Tatu💦 :
nimetamvulishwa sehemu 3 na nipo single
2026-08-20 19:07:20
0
mary731217
Mary wa justoh :
very true
2026-08-19 18:11:27
1
zena.davido.19
zenahh ❤️ :
yaan kila mtu afanye tu mambo yake uku tiktok ukiamini utapotea vibaya mno😂😂 sis tulitambulishwa na tukaachwa bila ata ata sababu kukuchoka tu 😂
2026-08-19 12:31:26
2
dada_cute86
dada_cute😘 :
kwel mama nimekupenda bule
2026-08-18 17:40:41
1
gration04
gration :
Kama na wewe umetumiwa sms ya TUNZAAMANI Gonga like😁
2026-07-07 21:44:57
3
william.paul924
GOLD STONE💪 :
10/10
2026-07-07 19:40:21
1
keenprecious2
EMMY COLLECTION🪄🛍️ :
Asante mungu kwa huyu kijana🙏🙏
2026-07-05 07:11:08
9
annasingano238
Anna Singano :
thank you mamaaa
2026-07-07 07:46:44
1
yohana.samweli.23
Yohana Samweli 23 :
Amina mam 🙏
2026-07-05 22:01:01
2
silent.nawazudhin
silent nawazudhin :
ni kweli🥰
2026-07-05 21:00:10
2
lutherford054
@Lutherford :
:maisha yametufikisha mahali ambapo mwanaume hamwani mwanamke na mwanamke hamwamini Tena mwanaume. ila wakat mwngne sio Kila mwanaume ana nia ovu Wala mwanamke. ila Imani ndo imepotea mioyon mwa watu.
2026-07-20 19:52:09
1
nyamutobea
Bett'is :
asante kwa uchauri
2026-07-09 20:01:15
1
user59949321412697
user59949321412697 :
amen maman
2026-07-07 14:25:22
1
user7770849757275
Miss Boss 💝 ❤️ 💖 :
Sahihi kabisa
2026-07-05 14:53:10
2
user1171229009073
Joelmtingo :
Asante mama jmn
2026-07-07 19:17:22
2
970armygirl
Tabitha :
hamna kitu hapo niulizeni mimi
2026-07-11 21:26:07
0
user233743153132
Edith :
siyo kila anaye ku tambulicha ana kupenda non sisi wegine tuli tambulichwa na tuka achwa
2026-08-19 19:57:27
1
user9060984280385
shani yaa :
amin
2026-07-05 10:44:32
1
richardmuli785
WIRLD T999 :
Mom you are write ,because I love you mom,but,mom where are the girls the know about pain of love ,mom ,girls through their mind they are thinking everytime cars and house,God plz indeed an wife who knows my life understand my pain how we surfer together through our life together, but ,let mebe single mom,I give up on love mom 😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔💔🙏❤❤🥰🥰🥰
2026-08-20 05:51:19
1
To see more videos from user @chibu_pattoh456, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About