Jamaniii msichoke kusema mpaka kila mwanamke awe naakili timamu🥰
2026-07-03 13:43:58
110
Neema Joseph :
walimuelewa vibaya past rose
2026-07-03 12:55:57
82
amaryllis 🤍🫰 :
well said🙌
2026-07-03 15:06:07
0
Love me ❤️❤️ :
Kama mgenipa nafasi nyingine mimi sitaki sitaki 😭😭😭
2026-07-03 13:16:01
33
Rahma Said 🥰♥️ :
mm nlicoment kwenye post ya Rose,sina degree hata moja wala diploma lkn siwezi kuolewa kwa kwenda kufua na kupika never🥺🥺🥺🥺
2026-07-03 14:13:24
31
Golden Nancy 💞 :
Hapooooooooooooooooooooooooooooo
2026-07-03 12:54:46
13
tweve :
duh hii imenigusa sana
2026-07-03 12:52:21
15
ley🥰💫 :
walimuelewa vbya
2026-07-03 07:36:20
37
Ndali.Og :
Daaah hii imekuja wakati sahihi😂
2026-07-03 13:18:01
9
ThickPhaty :
Hiiiii imenifumbua macho zaidi
2026-07-03 13:10:45
9
Happy only fashion :
Afadhari pastor wangu umeelewesha vyema maan walimshambulia pastor rose hawakuelewa anamanisha nin god blesse you
2026-07-03 14:21:40
5
happy G :
jamani naomba hii
2026-07-03 12:41:26
7
neysajoo :
Hapo chacha pastor Sema tupone🙌🏻🙌🏻
2026-07-03 12:59:31
5
De Millan official.. :
Buana nikipata wa kunioa naolewa🥰
2026-07-03 14:51:25
4
KALLA’S :
Haleluuujaaaah
2026-07-03 12:56:00
5
AQUESO FASHION :
Safi sanaa👏watu kama hawa ndio tunawataka msichoke kutushauri kaka 🙌
2026-07-03 13:08:38
11
De Millan official.. :
Ila kweli inauma buana😌
2026-07-03 14:53:00
2
SOFT_LIFE💸 :
Halooooooo
2026-07-03 12:45:02
3
Resty🍒 :
Pastor kamaliza hakii
2026-07-03 12:44:30
4
ma lee :
very true
2026-07-03 07:35:36
3
Marlay :
wale
2026-07-03 12:52:29
1
Da fey :
wakuelewa tume elewa 🙏🙏
2026-07-03 13:33:36
1
Daima april :
nawapenda sana pasta rose na tony nice mungu awabariki ndoa itakuja tuh usikae kusubiri ndoa kama mkombozii fanya kazi muombe mungu .. ata ukimpata atakuheshimu
2026-07-03 13:47:48
3
Karibu kwetu :
Nimekupenda Bure
2026-07-03 09:52:18
2
To see more videos from user @ney1collection, please go to the Tikwm
homepage.