zamani hizo nilikuwaga naimba 🎶
kuna mwanangu aliniambia niandike nyimbo kwaajiri ya graduation nilikesha kuchora mistari ili niwe noma . chakushangaza verse ya kwanza karibu yote tumefanana wakati niliifanya freestyle. ikabidi tugawane mistali
2026-07-03 09:57:24
4
Chriss_Daddy :
Mimi nilishawahi kuwaza idea ya Video,,baada ya siku mbele nikakuta diamond platinumz amefanya na video hiyo ikatoka,,nilishangaa
2026-07-03 08:16:46
4
Jen🇹🇿 & 🇩🇪 💍 :
Exactly
2026-07-03 07:45:11
2
TonyNails.Hfb :
Busara sana masta 🤝
2026-07-03 12:59:17
0
Glowmio talks :
Macho macho
2026-07-03 09:08:14
1
FIGHTER ²⁸ :
SIJAWAHI KUKUPINGA TILL DAY 1 BRO🔥🔥🔥
2026-07-03 07:33:42
2
emmirkinyogoto :
nimeelewa vizur dupa lakini ninaswali umesema tunapata ufahamu au mawazo kutoka chanzo kimoja, question ni nini ni hiko chanzo, who provide ?? @dupamdupange
2026-07-03 08:27:04
0
To see more videos from user @dupamdupange, please go to the Tikwm
homepage.