@recipebyamaris: Heeyy sweethearts Jamani likizo zinakaribia kuisha na watu wanarudi shule moja ya option nzuri sana ya breakfast ambayo unaweza kuwapa Watoto na hata kwa familia nzima ni hii soup😋😋😋Sio kila Siku chaiii😍 Na usisahau ili inoge zaidi ni lazıma tutumie Blueband🤤 Thank you Mdogo Wangu George for coming 🤗🤗 @georges____kitchen Na wewe sweetheart uijaribu🥰, promise kwenye comments Kama Utajaribu au show me a pinky fingure Kama utajaribu 🤗 @blueband_tanzania #spoonfulofdifference #bluebandcore