Huyo Shekh Hamza yupo vizur mno namkubali sana Amenyooka kama kishki💯
2026-07-03 12:56:16
100
zubeydah :
namkubali sheikheh huyu allah ampe afya njema
2026-07-04 07:02:04
42
Mudathiri Falifali :
Allah awalinde na kashfa mbaya mashekhe wetu inshallaah 🙏🙏
2026-07-04 04:54:41
32
SKIMMERER :
we love him no matter what
2026-07-03 21:07:08
14
Rahly Rawan :
Maasha Allah sheikh Hamza mansour nimekuelewa vyema
2026-07-04 06:43:02
8
user8154066953299 :
A.Alaikum Warahmatullahi Wabarakatu Jazaqallahu kheir Sheikh Amza Aallah Akujaalie kheri InshaaAallah 🙏Na Tunazidi Kumuomba Aallah Azidi Kumlinda na Kumpa Subra Sheikh Wetu Kipenz Chetu Kishki Kila Kwenye Ugumu na Wepesi Upo InshaaAallah Yaarrab Laalaameen 🙏🙏🙏
2026-07-04 12:24:58
1
aysh2002 :
Allah awape subra mashehe wetu
2026-07-03 18:16:55
8
Shufaah Vikrahm :
nampenda kishk ata ikiwaje
2026-07-03 11:43:23
25
Awendo :
pole pia pongezi sanaa
2026-07-03 17:25:47
8
user2190580436374 :
Hata iweje tushamkubali kishki na tunampenda mashallah
2026-07-04 09:54:41
7
SIRAHA PESA :
Kwan kimetokea nn Kwa kishki???
2026-07-04 07:55:51
2
ukhty shahida :
bado tupo pamoja 🤝 katika lailahailalahu muhamandu rasululha Allah amuhifdhi sn
2026-07-03 12:46:06
15
sk fabulous makeup artist :
yaani hana la kusema kwa shekhe wetu tunampenda kishki wetu Allah ambariki na amlinde ata uyo juma hatujui anasema nin anajishuhulisha tuu
2026-07-04 15:06:29
3
Sumaiya khamis :
mashallaaaah mwenyezi mungu Awatiye nguvu masheikh weto ulimwenguni
2026-07-04 11:42:12
2
Mariamu Masaninga :
Alhamdulillah shekhe allhah amuhifadhi shekhe kishki kwa mazito na magum anayopitia kwa sasa kwa mtu mmoja tuh aliejiamulia kumdhalilisha shekhe kishki tunamuombea dua zetu allhah amuongezee subra uvumilivu hekma busara na ukimya mkubwa kwahiki kinachoendelea asimjibu huyo allha ndo atatoa majibu yake dunian wal akhera
2026-07-04 10:27:38
3
Yusra Massoud :
Allha azid kumpa subra insha'Allha kwan subra ndio kila kitu kwahakika
2026-07-04 13:34:46
1
nasma_hilal :
jmn sipo online wiki tena kafanyaj
2026-07-04 11:46:50
2
user3860068561761 :
kwann kuna nin ety jmni
2026-07-04 12:45:04
2
zabibu :
allah awape subra mashekhe wetu
2026-07-03 20:27:13
2
Ayyubidin9 :
ni kweli bro
2026-07-03 12:48:33
4
Nurdin Kahema :
Allah awaifadhi mashk wetu
2026-07-03 15:19:10
4
aziza adamu💯 :
mashallah shekhe umeongea manen mazuri mpaka nipenda allah awalinde na kala baya
2026-07-04 13:54:05
3
سني بنت علي :
swadaqta
2026-07-03 13:09:19
2
Shinuna Abdallah :
mashaalah shekhe umenena kwel
💯
2026-07-04 09:41:40
2
hamidamohamed829 :
kweli kabisa tunawakubali sana mashehe wetu
2026-07-03 16:59:46
3
To see more videos from user @chief_maalim_mpiri1, please go to the Tikwm
homepage.