@zebra_restaurant_: JINA:MDUARA WALI hii inakua na mchanganyiko wa Mandi, Pilau, Biryani na Wali Maua, unapewa na sauce ya Biryani, njegere za Bluband na Special Recipe, Zebra Sambaro, Salad, na White sauce yenye secret recipe moja matata sana: Packages zinakua kama ifuatavyo:- WATU 3/4: BEI 48,000/= Hii inakua na Kuku Mmoja wa Kisasa na Nyama ya Ng'ombe ya Kutosha kabisa watu 3/4 WATU 5/6: BEI 65,000/= Hii inakua na kuku mmoja wa kisasa, nyama ya ng'ombe kilo 1, na vipaja vya kuku/Drumsticks 5 WATU 5/6: BEI 75,000/= inakua na kuku mmoja wa KIENYEJI, nyama ya ng'ombe kilo 1, na vipaja vya kuku/Drumsticks 5 WATU 8/10: BEI 95,000 inakua na kuku wawili wa kisasa, nyama ya ng'ombe kilo 2 na vipaja vya kuku/Drumsticks 10. WATU 8/10: BEI 115,000/= inakua na kuku wawili wa KIENYEJI, nyama ya ng'ombe kilo 2 na vipaja vya kuku/Drumsticks 10 RATIBA: JUMANNE ,JUMATANO, ALHAMISI,IJUMAA,JUMAMOSI, JUMAPILI KUANZIA SAA 6 MCHANA HADI SAA 3 USIKU, DELIVERY:Gharama za usafiri ni juu ya mteja na pia utalipia sinia sh 5,000 kwa ajili ya take away package) NAMBA ZA KUWEKA ODA NI: 0688 151783 0658 722393 0764 689647 0745 117440 WHATSAPP 0688 151783 TAFADHALI TUPIGIE, USITUME SMS ANGALIZO: ukiona tunachelewa kujibu whatsapp tafadhali tupigie kawaida kupata huduma yako kwa uharaka.

ZEBRA RESTAURANT
ZEBRA RESTAURANT
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 03 July 2026 10:15:26 GMT
4601
226
1
1

Music

Download

Comments

lordrick_1
🦋Mijongeo🌸ya🍃Ai :
14/14🔥🔥
2026-07-03 10:23:10
0
To see more videos from user @zebra_restaurant_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About