@adrice_collection: 🌟 Habari Wapendwa! Karibu Adrice Collection 🌟 Kwa majina naitwa Beatrice (Adrice), mmiliki wa Adrice Collection – kiwanda cha ushonaji wa nguo za kike na kiume pamoja na chuo cha mafunzo ya ushonaji wa kisasa kilichopo Dar es Salaam, Kivule – Bomba Mbili. Tunakaribisha wanafunzi kutoka maeneo yote (ndani na nje ya nchi) kujiunga nasi na kujifunza ushonaji wa kisasa kwa vitendo. ⸻ 📚 Maelezo ya Mafunzo 📅 Muda: Miezi 4 💰 Ada: TZS 400,000 kwa mwezi ⸻ 🏠 Malazi (Hostel) Hostel zinapatikana karibu na chuo: 💵 Gharama: TZS 50,000 kwa mwezi 🍽 Chakula: Kila mwanafunzi anajitegemea ⸻ 🧵 Vifaa vya Kuanza Navyo • Karatasi za pattern – TZS 110,000 • Kitambaa (Jora) – TZS 70,000 • Mkasi na Tape – TZS 25,000 • Rula za ufundi (Set ya PC8) – TZS 85,000 • Uzi – TZS 17,500 • Zip – TZS 6,000 • Calculator – TZS 7,000 • Soltape kubwa – TZS 8,000 💡 Jumla ya kuanza: TZS 728,500 (Inajumuisha ada ya mwezi wa kwanza + vifaa) ➡️ Miezi inayofuata: Unalipa ada tu, pamoja na vitambaa kulingana na miradi ya masomo. ⸻ 🎯 Kwa nini uchague Adrice Collection? ✔ Mafunzo ya vitendo kila siku ✔ Ujuzi wa kisasa wa kushona nguo ✔ Kuandaliwa kuwa fundi stadi na mwenye kujitegemea ✔ Fursa ya kujiajiri au kuajiriwa ⸻ 📞 Wasiliana nasi sasa: 0747 092 904 ✨ Adrice Collection – Jifunze Ushonaji kwa Utaalam na Ubunifu! ✨
ADRICE COLLECTION
Region: TZ
Friday 03 July 2026 10:24:15 GMT
Music
Download
Comments
kasimbushir :
naitaj kaz dada
2026-09-06 17:57:37
0
Abyysai Abyudy :
naitaj nafas ya kuajiliw ni mzoefu pia niko mwanza
2026-08-29 19:02:22
0
tina :
kwa mwez shingap
2026-07-21 08:33:43
0
angel :
mko wapiii nije kujifunzaaaa
2026-07-12 14:31:10
0
NAMIA :
asante
2026-07-21 17:44:11
0
systematic lady :
mpo wapi??
2026-08-11 03:23:51
0
Happyness Kaluhije :
nahitaj darasa la mtandaoni plz
2026-08-17 17:18:41
0
Veronica :
mnapatikana mkoa gani
2026-08-05 20:20:26
0
patience mupila :
ndakuja
2026-08-08 19:15:10
0
Sophiebaby :
mko wapi dear
2026-07-03 20:05:47
0
mashoo stylish :
Kozi Inachukua mda gani?
2026-07-17 07:31:27
0
binti navali :
naitaji kujifunza dear
2026-07-12 14:28:08
1
Jeshilamtummojahalinazamu :
mpo wapi
2026-07-03 17:35:54
0
jagati :
nahitaji darasa
2026-08-23 21:28:11
0
Marry Maria :
Jmn natak kujiunga lakin sijuh kabisa lakin najua kidogo ada yake vp maan asa hv nipo t na cn kaz
2026-07-03 14:01:54
0
To see more videos from user @adrice_collection, please go to the Tikwm
homepage.