@suluhisho_lauzazi1: 👉 "Siku 14 baada ya ovulation au baada ya tendo la ndoa, hizi zinaweza kuwa dalili za awali za ujauzito!"👇👇 ✅ Kukosa hedhi (kwa waliofikia tarehe ya hedhi). ✅ Matiti kuuma au kujaa kuliko kawaida. ✅ Uchovu usioelezeka. ✅ Kichefuchefu au kuhisi harufu zinakera. ✅ Maumivu madogo ya tumbo au mgongo. ✅ Kwenda haja ndogo mara kwa mara. ✅ Kutokwa na matone machache ya damu au ute wa kahawia (implantation bleeding) kwa baadhi ya wanawake. 🌸 "Kumbuka, dalili hizi zinaweza pia kusababishwa na mabadiliko ya homoni kabla ya hedhi. Njia ya uhakika ni kupima ujauzito baada ya hedhi kuchelewa au takriban siku 14 baada ya ovulation kwa kutumia kipimo cha mkojo." "Je, umewahi kupata mojawapo ya dalili hizi kabla ya kugundua una mimba? Andika 'NDIYO' kwenye maoni au nitumie ujumbe kwa ushauri zaidi." #DaliliZaMimba #MimbaZaAwali #AfyaYaUzazi #Wanawake #MamaMtarajiwa