ndo mkisikia umeoga janaba ndo man yake ni hii sasa ila neno linatafsirika tofaut kwa watyu ila janaba ni uchafu unaotakiwa kuoga kwa vituo na ustadi wa maelekezo sahihi ya namna unavyoelezwa na kitabu chako husika yaan kujisafisha ila huku kwetuu ukimwambia mtyu umeoga janaba ?? anahic umemtusi tusi gan sijui ugomvi kumbe huku piah mwaelezwa tujifunzeni kwa yakini tupats kujua uislam na ukristo tunapishana ktk vityy vdg sanah na namna ya lugha na utafsiri wa jambo inapelekea tujione tuko tofaut sanah
2026-07-19 18:50:23
2
febby :
hv mbn kama mnajibunia tuu vitabu ni kwel hayo ,je yapo ktk kitab gan my dr
2026-07-07 15:20:15
3
@ slayer :
iyo ilikuwa agano la kale
2026-07-05 08:29:56
10
Paul PM :
Kitabu gani hiki??
2026-07-05 09:50:31
4
mr. beyond the scene :
Japo sijaelewa ....
2026-07-06 10:19:05
0
Esue :
Mambo ya Walawi 15:16 ,17
2026-07-05 18:44:18
5
MALIKALE MUSIC ✅ :
MASHOGA WA UWAWEEE
2026-07-09 11:55:43
2
Elizabeth Chuma :
walawi 15:16-19
2026-07-07 17:53:32
0
jezzybavonee :
waongo tuu
2026-07-07 16:04:04
0
🌸its@lizzy🌸 :
ni ukweli mtupu
2026-07-07 18:25:21
1
mis wity🦋❤️🦋 :
walawi15
2026-07-07 13:29:06
1
faith01_ema7 :
heeegh kumbe ad uku yapoooo
2026-07-06 12:15:05
1
dickluckyvictor5 :
duuuh ipo kweli
2026-07-07 17:11:09
0
Mazzy❤️ :
Kumekuchaa
2026-07-05 17:18:35
1
Paul PM :
Naomba hiyo edition na mm nitafute 😁
2026-07-05 09:50:53
0
momo :
ngqpi?😁
2026-07-05 14:12:02
2
COX 9 :
ngapi ngapi
2026-07-05 13:11:11
0
dickluckyvictor5 :
soma na mstari wa 11
2026-07-07 17:12:48
1
Gracerose🌹🌹 :
ikanibidi nikaangalie mambo ya walawi 15-.......
2026-07-05 09:08:22
2
Edwin Junior :
jamni eeh
2026-07-05 06:42:52
2
bro G :
walawi bhana
2026-07-05 09:56:18
2
To see more videos from user @neemakalanga, please go to the Tikwm
homepage.