@k24tvdigital: Edwin Sifuna: Siku hizi wananivuruga kwa sababu kosa langu ni moja tu. Nilisema kwamba Kasongo lazima aende nyumbani 2027. Sisi tunamtakia maisha marefu ili aweze kushuhudia nchi ikiendeshwa kwa kuzingatia maadili na misingi ya Katiba.