@cawabemedia_: Mahakama ya Rufani imesema itatoa uamuzi wake hivi karibuni baada ya kukamilisha usikilizaji wa hoja za pande zote katika rufaa iliyowasilishwa na Jamhuri, ikipinga uamuzi wa Mahakama Kuu uliokataa ombi la kuwasilisha ushahidi wa nyongeza katika kesi inayomhusu Tundu Lissu. Katika shauri hilo, Jamhuri imeiomba Mahakama ya Rufani kutengua uamuzi wa Mahakama Kuu ili iruhusiwe kuwasilisha ushahidi huo wa nyongeza, huku upande wa utetezi ukitetea uamuzi wa mahakama hiyo. Baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili, jopo la majaji limeahirisha shauri na kueleza kuwa uamuzi wake utatolewa hivi karibuni.

cawabemedia
cawabemedia
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 03 July 2026 11:54:50 GMT
79610
2744
18
27

Music

Download

Comments

mathias.home.deco
Mathias Home Decoration Desgn :
kichwa kimoja kinashindana na mawakili woote Tanzania 🙆🙆
2026-07-03 14:06:50
19
mariam.shaksi3
mariam shaksi :
wangemuachia hulu tu mhh
2026-07-03 12:57:43
10
user32746298477772
user32746298477772 :
wange muachia tu jaman
2026-07-03 16:26:42
2
miraji2421
miraji2421 :
lisu ni mwamba sana
2026-07-03 15:47:02
1
julianamapesa
julianamapesa :
Mungu asimame
2026-07-03 14:42:59
2
hidayahidayarajab
Hdy cute 🥰 :
asamehewe jamn baba angu lisu
2026-07-03 12:51:04
3
rijo893
rijo :
Are u guys aware that, if u hold your nose u can't say hmmmm😂
2026-07-03 12:03:43
2
user9995790137791
Vicent Matunda :
ao wauni
2026-07-03 13:33:34
0
ronniemchatta781
ron :
JUST A MATTER OF TIME!
2026-07-03 18:51:54
0
ya.bibi3
ya bibi :
mimi naona wakili mkuu wa Tanzania anatakiwa awe tundulisu maana mawakili wa Tanzania wanashindana na mtu mmoja kweli mpaka leo awajapata majibu kweli
2026-07-03 14:21:53
1
giftmassawe652
WANANGU WA SCANIA 🛠🔩 :
🙏🥲
2026-07-03 15:42:00
0
iposikutwo
Iposiku2 :
🙏🙏🙏🙏
2026-07-03 12:33:39
0
To see more videos from user @cawabemedia_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About