@bongofive: Jamhuri ilifungua shauri hilo la maombi ya mapitio Februari 24, 2026, ikipinga uamuzi wa Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar es Salaam, kuikatalia maombi yake ya kutaka iruhusiwe kuwasilisha ushahidi wa nyongeza katika kesi ya uhaini inayomkabili mwanasiasa huyo. Shauri hilo la mapitio namba 7203216/2026 limepangwa kusikilizwa leo, Ijumaa, Julai 3, 2026, na jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufani litakaloketi Dar es Salaam, linaloongozwa na Jaji Augustine Mwarija. Majaji wengine ni Zainabu Muruke na Amour Khamis.

Bongofive
Bongofive
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 03 July 2026 11:58:09 GMT
25321
764
7
12

Music

Download

Comments

doctorb71
doctor*b :
7/7
2026-07-03 23:10:26
0
israelimolly0
Professor silence :
🙏🙏🙏
2026-07-03 16:21:11
1
dalali_kigamboni_
dalali_kigamboni_bigwa :
💯💯💯🙏
2026-07-03 16:18:36
0
edman.godfrey
Edman Godfrey :
🥰
2026-07-03 13:25:57
0
nahodhambishi
Nahodhambishi :
🥰🥰🥰
2026-07-03 12:06:36
0
abraham.kahai
abraham kahai :
😂😂😂
2026-07-03 18:31:00
0
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About