sjui sas nalia nn 😳😳mungu simama na Shujaa wetu huy amiin🙏
2026-07-04 05:18:48
25
Msiyambili :
MUNGU Wetu Halali wala hasinzii Naiman kwa Dua zetu Bwana atatenda sote na tuseme AMEN🙏
2026-07-03 18:45:17
57
Albert Werema :
pole pacome
2026-07-03 17:01:55
5
Michael Mpemba :
Sema wew mwanetu unajua sana kuandka 🙌🙌🙌
2026-07-03 13:49:19
41
Khadja Mbutu :
kwekweli Allah akutunze na uyo Mzee saidi mungu ambariki sana kwa moyo huo
2026-07-03 20:33:38
12
mr Kasulu Nshimanyi 1. :
umetisha baba tumuombee professor wa ball .
2026-07-04 07:11:40
7
@Nasbah👩❤️💋👩💘 :
Allah amfanyie wepesi kwa Kila hatua😭
2026-07-04 07:08:38
6
@Alex Jemba🐙 :
mungu ampe pacome wepesi wa kupona🙏
2026-07-03 19:32:51
15
Chiomma.wa baddest4206 :
Paccome jamani get well soon ety😭😭😳
2026-07-04 04:18:10
3
☆•••Anna~D•R•C :
10/10njooo
2026-07-04 07:03:27
3
emmy love124 :
😅 naumiasan sana juyahili ilasidabud kusema allhamdulilah kwayot aliolipanga mungu wanadamu hatunanjia ila nisiwe muongeaj sana mungu ambariki sana zuzwaa apone haraka naamuondolee simamzi moyon mwake nalitambue kwamba wanayanga nawasio wanayanga tumeumiya juyahili nasitachoka kumuombea 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 namin mungu atasikia viliovet anamuinua tena natarud kwenye ubora wake inshallah
2026-07-04 06:28:04
6
RM :
PACOME 🇰🇪🇰🇪♥️
2026-07-03 13:15:49
0
Moshi Machunte :
Tunampenda sanaa
2026-07-04 04:16:48
2
Elizabeth poul :
mungu mwamshe tena
2026-07-04 06:26:16
2
msuya 444 :
pole Sana pakome mungu akubark sana na upone kwa haraka
2026-07-03 18:29:53
7
hamizohr3 :
Pole sana pacome
2026-07-03 13:48:06
2
Monia🥀 :
Mpaka ume tuliz a jaman
2026-07-04 09:55:39
0
Ashiruna 002 :
Get well soon Pacome 😭😭🙏
2026-07-04 09:44:07
0
yusuhp mwasenga :
kisem kweli wengi tumeumia san wanachiii💚💛
2026-07-04 07:39:18
2
RK 🏗 :
unaongea kwahisia Kweli kila jema lina maumivu
2026-07-04 08:10:59
2
Joyce Bosco :
mungu mjalie p apone haraka
2026-07-04 06:15:02
2
Available :
Polee sana Pacome ,Mungu akuponye haraka.
2026-07-04 05:55:23
3
Alen Sawala :
champion 🏆 unajua
2026-07-03 20:13:29
1
Amru JR :
mungu akujalie upone mapema na Urud kazini inshallah 🤲
2026-07-04 06:17:00
2
feysal :
daaah
2026-07-03 23:20:56
1
To see more videos from user @steve.champion17, please go to the Tikwm
homepage.