@devis_minja1: Licha ya Wilaya ya Hai iliyopo Mkoani Kilimanjaro Kaskazini mwa Tanzania kuvunja rekodi ya kuwa Wilaya ya kwanza katika Mkoa huo kuwa na Taa za kuongoza magari barabarani katika Mji wake wa Bomang'ombe, watu wengi wamekuwa wakijiuliza kuhusu Mji huo kuitwa jina Bomang'ombe kulisababishwa na nini? Majibu yake yapo hapa,tuambie unataka kusikia kuhusu nini kwa Mkoa wa Kilimanjaro? #contentcreator #fy #fypppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp #adventure