@abdulazizielajemi: 💬 IBADA BORA NI ILE INAYOPEWA KIPAUMBELE.📌 💬 KUSWALI MWANZO WA MUDA NI ALAMA YA MAPENZI YA KWELI KWA ALLAH.📌 #isamic_media #ibada #guide_qalam #swala #foryou 📌 FOLLOW & LIKE & SHARE AND COMMENT ⬇️⬇️ ➡️@guide_qalam ➡️@abdulazizielajemi | Facebook |
guide_qalam
Region: MA
Friday 03 July 2026 14:02:08 GMT
Music
Download
Comments
neham :
Yarab nijaalie niwe mwenye kuswali kwa wakat
2026-07-03 14:07:49
19
🦋Dijjah🦋 :
huyo ni mimi allah noongoze
2026-07-04 07:31:08
4
may Allah s.w.t forgive us
2026-07-04 14:17:27
0
mrs Abubakarry :
Allha atuwekee wepes inshallah
2026-07-03 20:13:10
5
asmani bin asmani :
uyo ni mimi kabisa allah anijalie kusali kwa wakati Asante shee wetu
2026-07-04 11:43:51
4
hidaya umari :
kweli kabisa Allah atuongoze
2026-07-03 19:37:05
6
Black Beauty..🦋 :
Allah tujalie ni wenye kutekeleza swala kwa wakati🤲🤲🤲
2026-07-04 15:58:41
1
Hidayamsongo :
ya allah tufanyie wepesi
2026-07-03 19:40:22
3
mama swabra :
naomba msaada mimi nafsi yangu imekuwa ngumu kwa swala nilikuwa naswali vizur lakini sasa siswali
2026-07-04 15:32:25
1
Karima :
Allah atuongoze
2026-07-03 16:56:48
5
Faa :
NAMSHURU M.MUNGU KWA HILO SIJAWAHI KUCHELEWESHA SALA. ALHAMDULILLAH
2026-07-04 08:26:06
2
halima mazera :
alhmdllah hujtahd
2026-07-04 15:47:56
0
Zarina Abdul hasnal :
@neham:Yarab nijaalie niwe mwenye kuswali kwa wakat
2026-07-04 15:37:45
0
New rules ,new life :
subahanallah! Allah atusamehe
2026-07-04 01:22:38
4
ummu imraan :
ya Allah tufanyie wepes
2026-07-04 15:50:20
0
win :
mwenyez atupe wepes wanawake wote inshallaah
2026-07-04 04:54:38
2
intal gabra :
Allah atuongoze I.a
2026-07-04 05:42:01
0
rukiabeiby :
Allha atufanyie wepesi 🤲 kwenye swala zetu
2026-07-03 22:33:06
3
Halima Rashid :
Allah atusamehe madhambi zetu na atongoze, amiin
2026-07-04 03:15:56
2
da2 swaleh :
Allah atusameh
2026-07-04 15:56:45
0
fauziah shaaban ❤ :
huyo n mm Allah atuongoze sote
2026-07-04 16:41:41
0
khadijatandiko2 :
Alaah atusamehe
2026-07-04 15:40:18
0
Aishnaa :
mungu atusamehe y rwabi
2026-07-04 15:37:42
0
Ms.wonderful 🩷🦋 :
ALLAH AKBAR🥹
2026-07-04 15:11:31
0
DATTY PHONE&ACCESSORIES🇹🇿 :
uwiiii
2026-07-03 14:16:34
0
To see more videos from user @abdulazizielajemi, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.