@veriafya: Je, wajua? Wanaume wanaopata changamoto ya kuvimba kwa tezi dume huwa na hatari kubwa ya kupata changamoto za Figo ambazo kama hazitashughulikiwa mapema hupelekea Ugonjwa sugu wa Figo. Haya yamesemwa na Dkt. Salim Mfungahema, Bingwa wa Magonjwa ya Figo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete kupitia TBC Online