@nijuzenews: Mbunge Sigrada: ‘Wabunge hawasimami kwa niaba ya wananchi kwa sababu wanalipwa mishahara na Serikali’ Fuatilia mazungumzo yote kupitia YouTube Channel yetu, kisha subscribe kwa habari motomoto>>> https://youtu.be/9NsBsw3tkf8 Subscribe kwenye WhatsApp Channel yetu>>> https://whatsapp.com/channel/0029Vb6s4M91NCrctJX2YG2u
Nijuze
Region: TZ
Friday 03 July 2026 14:51:31 GMT
Music
Download
Comments
Tabasamu Online Tv :
Timu Sigrada gusa like
2026-07-03 22:24:45
86
makemba03 :
uyu dada anaakili nyingi sana
2026-07-04 07:46:52
5
ꪑꪮꪊ𝕤ꫀ𝕣_ᥴꪀ :
points
2026-07-04 01:09:24
4
khamisabdallahkha6 :
dada wewe shujaa sana umeongea vizuri kabisa
2026-07-04 04:12:11
7
kaizilege Mahmood :
mheshimiwa Singrada oyeeeeeee Allah akujalie afya njema Inshaallah Tanzania kwanza
2026-07-04 05:12:47
15
ابو عمران :
anaakili nyingi
2026-07-04 05:59:21
6
damas mlowe :
mamamamaaaaaa weeee!!!! ohoooooo!!! kila jambo linamwishooo
2026-07-04 06:03:42
3
user4486131421634 :
dada hongera sana mungu akujaalie kwakweli nakupendasana
2026-07-04 05:31:49
5
rapher :
Mungu akutunze dada wa taifa
2026-07-04 05:54:19
6
user8690042302857 :
jiuzulu
2026-07-03 19:09:09
3
lubuma007 :
Haleluuuuuu Yaaaaaa
2026-07-04 07:56:35
2
IT. :
Akili Mingi Mama
2026-07-03 19:42:52
11
paulitengia, :
mm n ccm lkn ww una akili sana
2026-07-04 08:32:53
2
Norash95 :
uishi maisha marefu
2026-07-03 20:06:29
8
estermassae :
umeongea poimt madamu mungu akulinde
2026-07-03 22:21:17
6
Esther Kadeghe :
uko vizuri
2026-07-04 03:03:56
3
Mussa Boazi :
nikwer dada
2026-07-04 06:02:25
2
Valenceboy🥷 :
So intelligent
2026-07-04 07:25:15
2
Neybo MCHELE :
unaakili sana dada
2026-07-04 07:16:32
1
H.Mwinyi Radjabu :
kweli kabisa dada yang
2026-07-04 04:21:04
2
dha..... your the best sister
2026-07-03 18:50:38
4
sicola255 :
wewe dada mungu akutuze sana
2026-07-03 21:12:10
2
Johnson :
Hilo nayo neno 😢
2026-07-03 20:31:47
2
BASTAMA :
hii akili ni next level
2026-07-03 21:41:25
3
Noeli Mlaponi :
good ideal madam.
2026-07-03 16:53:04
2
To see more videos from user @nijuzenews, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.