@proudly.tanzania4: Ngoswe: Penzi Kitovu cha Uzembe ni mojawapo ya vitabu vya tamthilia maarufu sana Tanzania, kilichoandikwa na Edwin Semzaba. Tamthilia hii inatumika sana katika shule za sekondari kama somo la Kiswahili, ikisisitiza mafunzo kuhusu jamii, uwajibikaji na madhara ya tamaa za kimwili zaidi ya kazi. Nilikuwa nikifikiria kuhusu thamani yake maana inahusiana na maisha ya kila siku na elimu tunayopata. Iko wazi inatoa mazingara mazuri ya kuelewa fikra na hisia za watu wadogo na wakubwa. Una maoni gani kuhusu kitabu hiki? #viral #fyp #foryoupage #tanzaniantiktok🇹🇿 #tanzaniatiktok
PROUDLY TANZANIA
Region: TZ
Friday 03 July 2026 15:02:10 GMT
Music
Download
Comments
Haruna nuru :
nilimlaumu saaan saaana ngoswe
2026-07-04 04:52:32
5
RayGBrand :
mmmh ngoswe
2026-07-04 20:38:47
3
𝐃.𝐫.𝐞.𝐱_ 𝐊.𝐮.𝐬.𝐡🀄️ :
Mliokuwa mnatusome izz tamthilia kwa class Mungu awape haja ya mioyo yenu
2026-07-04 07:46:07
537
Haruni pepe :
walosoma hiki kitabu 2024 weka like hapa
2026-07-04 11:53:14
283
Benja Mazige :
muombe ngoswe msamaha sasa
2026-07-04 08:14:09
126
MR_NKUBA :
Edwin Semzaba hii story ukute ilimkuta kwel 😲😲
2026-07-04 07:07:27
103
Sir.Mashini(GT)_Official :
Waliosoma kitabu hiki 2015 Tujuane 😀
2026-07-11 13:13:32
7
Hance khan 17 :
tuliosoma 2021 to 2022
2026-07-08 07:51:30
13
🏝️ZUSCO🏝️ :
2022 tujuane kwa like🙌
2026-07-05 09:01:26
70
Kim De🍾 :
nilikuwa naipenda kuliko tamthilia zote
2026-07-04 18:04:58
24
JK.FARMS :
tuloisoma 2010 gonga like hapa
2026-07-05 04:48:10
11
🌸deborah🌸 :
waliosoma 2017 like zenu jaman
2026-07-05 18:56:53
14
135729468 :
Walosoma hiki kitabu 2000/2001 tujuanee..
2026-07-05 06:00:12
19
@dickson🇰🇪-m10 :
waliosomq kitabu hiki 2020 gonga likes
2026-07-04 16:38:47
7
Covey D :
Tuliosoma 2020
2026-07-06 14:57:04
7
Madam Berry :
Daah kitambo sana
2026-07-04 14:39:00
5
Sâdàm de smàrt 🫂 :
tulio soma 2022 tujuwane
2026-07-05 06:55:16
18
@key official :
2024 tujuane kwa like
2026-07-06 17:25:47
5
Grady benny🦋🦋 :
mliokuwa mnafaulu namn ya kujibu Hay maswali gonga like apa
2026-07-05 09:57:07
15
🌹🌹Silent noory 🌹🌹 :
2025 kama umesoma hii kitabu gonga like apa
2026-07-05 09:03:25
9
fumbuka jr :
2liosoma 2021
2026-07-05 15:32:07
9
miss💞Ammanaly🌹🥀 :
2023tujuanee kwa like hapaa❤️❤️
2026-07-06 13:08:26
6
Joseph :
aliyesoma kitabu hiki mwaka 2022!
2026-07-04 12:56:23
10
💗💗tuytuh🎀🤺 :
tuliosema hik kitab 2025 tujuan
2026-07-04 15:15:35
7
Joro@khan :
dalili za mimba plz
2026-07-04 14:58:54
6
To see more videos from user @proudly.tanzania4, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.