@gastmedia: Kama nilivyowaahidi, baada ya kuweka vyeti pembeni na kuingia field, nimerudi na Market Intelligence (taarifa za soko) ya kwanza kabisa kutoka Kariakoo.... ๐๐๐ผ๐ผ๐๐ ๐๐ ๐๐๐ ๐ฝ๐๐๐ Biashara haitaki kubahatisha; inataka ujue wapi pa kupata bidhaa kwa bei ya chini kabisa ili uongeze Profit Margin (faida yako). Mimi sio mchoyo, nimewaletea machimbo ya kwanza kabisa (angalia picha hapo juu" ili kuokoa mitaji yenu: ๐ Maduka ya Dawa: Ramani nzima ya kuanzia mtaa wa Congo na Lindi ipo hapo. ๐ Spare za Pikipiki: Kutoka mitaa ya Msimbazi na Nyamwezi kwa wataalamu wenyewe hawa jamaa wamejipanga kibiashara @uptown_spare_partsbackup ๐ Vipodozi & Stationery: Kila kitu nimekiweka wazi hadi namna ya kufika mlangoni๐ซก Hii ๐๐ถ๐ถ ๐ป๐ถ ๐ฎ๐๐ฎ๐บ๐ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ฎ๐ป๐๐ฎ ๐๐ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐๐ฎ๐ฝ๐ฎ ๐๐ผ๐บ๐ฝ๐ฒ๐๐ถ๐๐ถ๐๐ฒ ๐๐ฑ๐๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ด๐ฒ (๐๐๐ต๐ถ๐ป๐ฑ๐ฎ๐ป๐ถ ๐๐ฎ ๐ฏ๐ฒ๐ถ) ๐๐ผ๐ธ๐ผ๐ป๐ถ. ๐๐ฎ๐ฒ๐ป๐ถ ๐บ๐ด๐๐ ๐ฝ๐ฎ๐ป๐ฑ๐ฒ, ๐บ๐ด๐๐ ๐๐ฎ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ฎ ๐๐ถ๐ฟ๐ถ ๐ป๐๐ถ๐ป๐ด๐ถ๐ป๐ฒ ๐๐ถ๐ป๐ฎ๐๐ผ๐ธ๐๐ท๐ฎ. ๐ช๐ฎ๐๐ฎ๐ธ๐ฎ๐๐ผ๐ป๐ด๐ฒ, ๐๐ผ๐บ๐ฏ๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ฑ๐ถ๐ป๐ถ ๐ต๐ฎ๐๐ผ ๐ต๐ฎ๐ฝ๐ผ ๐ท๐๐ ๐ฎ๐น๐ฎ๐ณ๐ ๐๐๐ธ๐๐๐ฎ๐ป๐ฒ ๐๐ ๐ธ๐๐ฎ ๐บ๐๐ผ๐ป๐ด๐ผ๐๐ผ ๐บ๐ธ๐๐ฏ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐ถ๐ฑ๐ถ ๐๐ต๐๐๐ฎ๐ฝ๐ฝ ๐ป๐ฎ๐บ๐ฏ๐ฎ +๐ฎ๐ฑ๐ฑ๐ณ๐ด๐ณ๐ด๐ฑ๐ญ๐ด๐ฒ๐ด......HAO WOTE NAMNA YA KUFIKA NITAWAELEKEZA CHA KUFANYA