@itsgideonpaul:

Gideon Paul Magangira
Gideon Paul Magangira
Open In TikTok:
Region: US
Friday 03 July 2026 15:23:03 GMT
10170
590
43
48

Music

Download

Comments

musa.ezekiel
Musa Ezekiel :
yule ni content creator 😂
2026-07-04 02:02:28
20
angelv437
Victoria :
Gideon Gideon I agree with you for the 2nd time😂.. Tony is a comedian
2026-07-03 16:24:33
25
reginaldpius
RG @21 :
100% I agree.
2026-07-04 05:33:31
0
tshimangadzo_mulaudzi
tshimangadzo_mulaudzi🇿🇦🇹🇿 :
au anatumia ChatGPT 😂
2026-07-04 06:17:05
7
geofxtihacl
Geoffrey :
Yule jamaa ni content creator 😁
2026-07-03 23:22:59
9
amandimissy
Amandi Missy :
mmmmh
2026-07-04 09:51:36
0
agnes.felix3
Agnes Felix :
Me Ndio sijawahi kumuelewa hata Siku moja
2026-07-04 06:54:01
5
user959874528537
milcah :
Kuna wimbo wako mmoja hua unanibariki sana “NDANI YANGU” feat Mruma hua ninausikiliza kila ninapo jiandaa kwenda job barikiwa bro
2026-07-03 15:51:36
6
kadesh_kukufarm
Kadesh kukufarm :
Yan mimi tangu mwanzo namuona tony kama motivational speaker kwakweli
2026-07-04 05:57:58
2
user8778231187781
user8778231187781 :
uko sahhi mtumishi
2026-07-04 07:29:47
1
user3965863951869
user3965863951869 :
kwel brother
2026-07-03 16:52:40
3
kingskings893
kingskings893 :
uko sahihi sana sana.
2026-07-03 17:42:37
4
sarahsamuel6115
Sarah Samwel :
wenawe kwendaaaa
2026-07-03 19:25:02
0
katie.andrew13
Katie Andrew :
Hapo umeongea point🙏👏
2026-07-03 16:55:00
2
god.s..family
GOD S FAMILY :
nakuelewa sana kaka.
2026-07-03 16:33:56
2
mick.zegu
MICK ZEGU :
HAKIKA
2026-07-04 06:05:19
0
pendo.lauwo
Pendo Lauwo :
Katika Biblia, kuna matukio mawili muhimu yanayohusisha fimbo kugeuka kuwa nyoka: 1. Musa – Mungu alimwagiza Musa kutupa fimbo yake chini, na ikageuka kuwa nyoka kama ishara ya nguvu za Mungu. Hili lilitokea kwanza alipokuwa akikutana na Mungu katika Mlima Horebu. (Soma Kutoka 4:1–5.) 2. Baadaye, Haruni, kwa maagizo ya Musa, alitupa fimbo yake mbele ya Farao, na nayo ikageuka kuwa nyoka. Kisha wachawi wa Farao walifanya vivyo hivyo, lakini nyoka wa Haruni akawameza nyoka wao. (Soma Kutoka 7:8–12.) Kwa hiyo, jibu linategemea tukio unalorejelea: * Musa alirusha fimbo yake na ikageuka kuwa nyoka mbele za Mungu kama ishara ya wito wake. * Haruni alirusha fimbo yake mbele ya Farao na ikageuka kuwa nyoka wakati wa kumtaka Farao awaachie Waisraeli waondoke Misri.
2026-07-03 17:03:29
14
bigmastermind1
Sultan A Sultan :
Soma Biblia Wewe
2026-07-04 06:34:18
1
danielectronics5
DANI TRONICS :
brother unaijua injili sana ila watu awawez kukuelewa
2026-07-03 19:52:59
3
salpamana
Salpa :
Wewe ndio haupo sahihi katika ulichokosoa. Two different incidents happened, moja ilikua kati ya Mungu na Musa nyingine katika Musa, Haruni na Farao. Ongeza umakini
2026-07-04 05:48:59
1
chessyspiceland
🇨 🇴 🇼 🇧 🇴 🇾 255 :
kapola sio mchungaji
2026-07-04 05:27:07
1
mtimbz
Mtimbz :
UPO SAHIHI!!! Mbele ya Farao, aliyerusha fimbo na ikageuka kuwa nyoka alikuwa Haruni, kwa amri ya Mungu kupitia Musa. Kutoka 7:8–12. Mungu alimwambia Musa amwambie Haruni arushe fimbo yake mbele ya Farao, na fimbo hiyo ikageuka kuwa nyoka. Wachawi wa Misri pia walifanya vivyo hivyo, lakini nyoka wa Haruni akameza nyoka zao. Musa naye pia aliona fimbo yake ikigeuka kuwa nyoka alipokuwa katika tukio la kichaka kilichowaka moto. Kutoka 4:1–5. Mungu alimwambia Musa atupe fimbo yake chini, nayo ikageuka kuwa nyoka. Hii ilikuwa ishara ya kumthibitishia kwamba Mungu alikuwa amemtuma. HUYU T.K WASHIRIKI WAKE HAWASOMI BIBLIA KUIELEWA NADHANI.
2026-07-03 15:56:48
2
favourite_463
Jessie 🦋🤍.. :
his high IQ ndo inawatesa watesi he understands maandiko alot
2026-07-04 04:32:56
1
david.myalle
David Myalle :
Shida ni Kwamba Mmefanana
2026-07-04 01:05:42
1
ndiomzee
Laur Tajiri :
nakuunga mkono 100%
2026-07-03 19:14:07
0
To see more videos from user @itsgideonpaul, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About