@al.akhi.naasir7: Ujumbe kwa maustadh wote

Al Akhi Naasir
Al Akhi Naasir
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 03 July 2026 16:17:54 GMT
56694
9265
302
2020

Music

Download

Comments

rehema.msuya8
rehema msuya :
Umesema kweli, nataman huu ujumbe ufikie wengi
2026-07-04 03:45:32
56
salvosltwy36
prettygirl :
Wallahi kaka ,Allah amekujaalia elimu na hekma ...Allah akupe kila hitaji LA moyo wako🥰🥰🥰🥰🥰
2026-07-04 15:01:31
24
_abdallah_dello
_DELLO FMT :
Sahihi kabisa, Mada inabidi ziendane na Mienendo ya maisha ya kila siku pia. Yaani mada imguse mtu akiona kabisa hii ni hali niliyonayo mimi, hawezi kulala mtu. allah awafanyie wepesi, Allahuma amiin🤲❤️
2026-07-04 10:44:33
19
hamiduathumani947
official_Hamidu :
asalaam aleykum sheikh naomba kuuliza je, katika swala unaruhusiwa kuomba dua kwa kiswahili???
2026-07-04 22:17:09
5
user6303363429247
Kadinalikatto :
Yaaan uk sahh kabsaa ustadh
2026-07-03 17:18:17
15
ramadhani.kafura
Ramadhani Kafura :
JazzakAllahu kher kak
2026-07-04 05:46:11
7
kachelo63
𝒦𝒜𝒞𝐻𝐸𝐿𝒪 👑♓ :
Uko sahihi sana shekhee
2026-07-04 09:53:38
5
user7117448453981
[email protected] :
Allah akupe mwisho mwema inshaAllah
2026-07-06 11:50:38
7
mwanaisha.chinyav2
Mwanaisha Chinyavu :
hii nayo ntashare kila mahalii mana nimtihani kwakweli
2026-07-04 15:57:31
11
bidosco_254
Bidosco_254 :
kweli kabisa swadakta
2026-07-04 15:22:53
6
dracula279
Dracula :
jamani mimi nalala usingizi mnono sijui kwa nini
2026-07-04 09:05:35
7
user30005139254806
zizu boy :
Allah akulipe kheri shekhe wangu ujumbe umewafikia
2026-07-04 09:41:43
7
user3436635781318
user3436635781318 :
hata mimi inanitokea sana hiyo hali shekhe naomba dua zako shekhe inaniumiza sana
2026-07-04 16:21:23
6
mohamediwaziri32
Mo@shuraim#qiraa :
Allahuma baarik
2026-07-04 03:14:21
8
mustafamustafachi
bigdad :
mashaallah,hapo umesema ukweli kabisa ustadh
2026-07-04 10:27:29
7
user9794692110761
Gercutay :
Ujumbe umefika alhamdulillah
2026-07-04 03:51:58
7
khamicjum
khamisi juma :
swadaqta mw/
2026-07-04 08:35:47
5
yumnaramadhani511
ummu nayfat :
mashaallah
2026-07-03 17:00:48
6
user7681411282881
Ibrah gwede :
MashaAllah shehk kweli hio
2026-07-03 20:26:16
6
user8543841631656
Mohzul 💕 :
MashAllah sheikh
2026-07-03 17:03:42
14
mwanamisimwakidzidzu
Michy :
MashAllah umeongea bro hawa maustadhi wanazingua kweli
2026-07-04 12:58:28
8
deynahsayd
,deynahsayd :
Vizuri kabisa, hawana interesting story
2026-07-03 23:02:23
8
abu.yusuf0740
Abu Yusuf :
Jana mimi nlikua nasinzia sana Subhana Allah. nlijizuia sana. lakini khatibu naye Dah.
2026-07-04 01:19:11
7
byangwamu4
Byangwamu :
Swadakta shekh
2026-07-04 07:50:54
5
user7876785073862
Mwarabu Wa Kati :
hapo upo sahihi kabisa ustadh
2026-07-03 17:34:32
8
To see more videos from user @al.akhi.naasir7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About