@muhammadfacky: Usichanganye ushahidi wa mauziano na hati ya umiliki. Barua ya Serikali za Mitaa inaweza kuthibitisha kuwa mauziano yalifanyika, lakini haitoi haki ya umiliki wa ardhi kama hati ya umiliki inayotolewa kupitia mamlaka za ardhi. Kabla hujanunua kiwanja au shamba: ✅ Hakikisha unajua hadhi ya eneo. ✅ Hakikisha nyaraka zake zimehakikiwa. ✅ Elewa kama eneo lina hati au linaweza kupatiwa hati kwa mujibu wa sheria. Elimu ya sheria leo inaweza kukuokoa dhidi ya hasara kesho. #ardhi #realestate #businesstips #businessgrowth #legal

Legalwithmuh & Associates
Legalwithmuh & Associates
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 03 July 2026 16:39:14 GMT
1577
56
5
6

Music

Download

Comments

musomatanganyika
Simion selemu arap Rotich :
2026-07-03 21:38:54
0
gastonmnyeke
Gaston Mnyeke :
🙏🙏🙏
2026-07-03 16:48:33
1
user7721727595107
Wamalwa junior :
🤝
2026-07-03 17:42:54
0
To see more videos from user @muhammadfacky, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About