@ummulabbas447cooking: 🌺 Roselle Juice tamu sana na ina harufu nzuri y viungoo Upate iloganda allow utamu hauelezeki 👌 Unaweza kuongeza asali mbadala w sukari Glass na jagi letu kutoka @buku3stores unamiliki vyombo vizur kwa bei chii Spice kutoka kwa @Super_spice_tz Follow kwa mapishi rahisi matokeo uhakika #zanzibar #FoodLover #swahilitiktok #tanzaniatiktok #swahilifood