@mshindo_tv: ---Baadhi ya wananchi wameonekana kutoridhia juu ya tukio lililo jitokeza hivi karibuni la baadhi ya vijana wakicheza muziki mtaaani huku wakiwa wameshika mapanga mikononi. jambo lililopelekea Serekali kupitia baraza la sanaa kuchukua uamuzi wa Kuzuia kutoa vibali vyote vya kupiga muziki mtaani maarufu (rusha roho) Tokea kusambaa kwa video za vijana waliokuwa wakicheza kinyume na maadili na wakiwa wameshikilia mapanga jambo ambalo limefanya Serikali kupitia Baraza la Sanaa kuingilia kati na kutoa Tamko la kuwa Marufuku Upigwaji wa muziki wa Rusha Roho Mitaani na hapa Aanaeleza. Kwa habari na matukio mbali mbali tufuatilie kupitia mitandao yetu #Mshindo tv.

Mshindo tv
Mshindo tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 03 July 2026 17:13:50 GMT
7788
216
43
27

Music

Download

Comments

user3925218610536
mapesa :
mm acha kupenda mziki umrii ume enda tafta mswala tena
2026-07-03 18:50:35
7
mr.charming.zanzib
Mr charming zanzibar :
mama umri unakwenda ,,,,,acha kupenda mziki😭😭😭
2026-07-04 01:39:05
2
omarmbarouk472
Godogodo :
hamnakitu
2026-07-03 17:33:42
1
mama.nihla6
mama nihla :
safi mama maana nilikuwa sijuwi nifanye nini na pesa nishatoa👍
2026-07-03 19:52:06
0
enjoytlscwithus
Modey_mo :
mzeee anatetea zambi
2026-07-04 02:57:09
0
abdurafilrajab
rajaburafu :
kweli mam kwel mam kweli mam 🥰🥰
2026-07-03 19:19:24
1
user2047105466211
Mwana--Mpemba og :
Mama, tafadhali, zingatia imri wako.
2026-07-04 01:49:54
0
official_mamen_g7
Zey :
Ya Rab tupe mwisho mwema
2026-07-03 19:45:03
1
mwanakhamisali978
mwanakhamisali978 :
eee mama wee huoni kuwa ni kher kukatazwa mzik
2026-07-03 23:10:26
0
mmtaalam
MAYNA :
we mam acha kupenda mzik ww mtumzima ovyo
2026-07-04 00:16:32
0
hassanalmsiha
hassanalmsiha :
mtumzima ovyooooo aibu
2026-07-03 21:31:48
0
user815950426150
user815950426150 :
uhakika kabisa
2026-07-03 19:59:37
0
user7993417566303
babaa ajmal :
uso mbayaa
2026-07-03 20:52:48
0
jojocute74
Nuru Andrew :
hhhhhh aibu naona mie
2026-07-03 23:22:25
0
kubanda22
Prince Kubanda 🤴 :
huyu mama m,baguzi
2026-07-03 18:02:14
0
mama.nihla6
mama nihla :
safi
2026-07-03 19:52:27
0
king_kureish
King_kureish :
hamna kitu tafuta msala usali
2026-07-03 17:57:54
8
nahla.iyaad.arham
Nahla Iyaad Arham :
mama hamjui mungu
2026-07-03 19:39:21
0
demba9818
Demba :
2026-07-03 20:50:34
0
mudriknaim
Mudrik Naim :
tafuta mswala acha kuondekeza dunia
2026-07-04 02:58:33
0
mirrormpemba
baba Rashid :
daaah
2026-07-03 19:09:31
0
newcollection66
MK Collection :
mmmmhhhuu
2026-07-03 19:46:19
0
muhammedbakari77
Abdullah Idrisa :
bas mziki huangalii ata kwa mungu umri uo
2026-07-03 18:40:38
0
To see more videos from user @mshindo_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About