@tumuimbie_bwana_labs: ila wakatoliki 😀🙌

Tumuimbie Bwana Labs
Tumuimbie Bwana Labs
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 03 July 2026 18:27:25 GMT
214942
11598
780
802

Music

Download

Comments

uniquesomi512
Uniquesomi :
Tumsifu Yesu Kristo wakatoliki wenzangu
2026-07-04 09:20:33
575
happinesskhalid411
happiness_khalid _ 212 :
mkatoliki simama😁😁
2026-07-04 04:43:26
697
itc.juju
Datgurl__Juju☺️ :
wakatoliki wote tujuane hapa🙏🏼🙏🏼
2026-07-04 07:12:20
273
dorismnywiga2
Dorin mnywiga :
nimefurahi kukutana nahii kometi maana ndio kiapo changu kuwa sitahama ukatoriki yaani hata mungu akinisaliti aninyime mume mkatoriki ila Mimi nipo tu mpaka kaburi,na vunia kuwa mkatoriki,asanteni wazazi wangu hamkosea kunielekeza mahali Imani yangu inapatikana🥰🙏
2026-07-04 03:53:44
232
olokunameh
~itscar.ryn😍 :
Mapendo
2026-07-04 07:23:44
126
miss.phiner.23
Miss phiner 23 :
kristo 🥰
2026-07-04 04:15:35
39
kulwa4905
second born wa familia :
Mapendooo
2026-07-04 05:27:33
49
yuvence1
Toxic🫰😛🙌🙌 :
Ewe mwenyezi mungu timiza kila haja ya yule aliyekutana na hii post jmosi ameni🥰🥰
2026-07-04 07:21:46
120
v.s.512
v.s :
🥰🥰🥰🥰 NIMEZALIWA KWENYE MOJA.........................
2026-07-04 10:36:28
25
lizzie.morry
lizzie morry :
mahujaji wa matumaini 😘
2026-07-05 11:09:27
22
amina.mboya
amina mboya :
wa catholic wote Mung awabariki sana ❤️‍🔥
2026-07-04 05:48:28
113
73tiktok.c
lizywilly :
kitu nilikuwa naomba kila sk nikukutanishwa na mume mkatorik kam mm bahati nzr mungu wangu ni mwema akanipa nilichomuomba mm na catorik adi kifo
2026-07-04 12:52:02
26
queenlepama
queenlepama👸 :
Tumsifu yesu kristo✝️
2026-07-04 08:56:21
15
gabrielnyasilu
Gebo :
Mke wangu alikuwa Mkatoriki imara Sana na alikuwa na msimamo Sana ila tunapozungumza hapa ni Msabato anayewahi shule Sabato vizuri ni sahihi wakatoriki wanamsimamo ila mapenz yana nguvu kuzidi imani
2026-07-04 10:24:04
15
user35174222220916
[email protected] :
Mapendo 🥰
2026-07-04 18:15:38
6
lastbo114
Last born ❤️🩷🥀🌺 :
Vijana mapendooooo🥰🥰
2026-07-04 07:09:28
5
momterry18
momTerry :
Tumsifu Yesu Kristu
2026-07-04 13:32:27
17
user4068816919468
astera :
mapendo
2026-07-04 10:11:28
8
eras.majara7
Eras $ majara :
eee mwenyez mungu nijarie mke mwenye imani kama yangu nitimize sakrament ya ndoa, amina🙏🙏
2026-07-04 09:12:35
23
mwinga.mwandwanga
Mwinga Mwandwanga :
mapendo
2026-07-05 16:43:51
5
agripina137
Agripina :
mapendo
2026-07-04 05:39:30
10
lastborn..6
Phina❤️ :
Ni moja ni moja leo ni moja kesho ...kanisa moja Takatifu Katoliki la Mitume🥹🥹😍
2026-07-04 12:54:56
11
pendo993
pendo de queen❤️ :
Tumsifu yesu kristo 🥰
2026-07-04 08:26:10
13
changuchole.fc
Changuchole Fc :
Tumsifu Yesu kristo Wakatoliki wote. Na Mwenyezi Mungu awabariki Popote mlipo. Ni kweli na Tudumu Milele na milele. sema Amina.
2026-07-09 11:10:08
5
evelilith11
Eve :
mnaharibu original songs na hizi matakataka za AI just stop 🛑
2026-07-05 10:48:21
27
To see more videos from user @tumuimbie_bwana_labs, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About