@bukwimbajohnbukwimba2002: Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umetekeza Maduka Mtaa wa Lumumba Wilaya ya Nyamagana Jijini Mwanza, Mto ambao umeanza majira ya saa 2 usiku huu. Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lipo eneo la tukio likiendelea kufanya jitihada za kuuzima Moto huo