bana weee sa kama pesa umpei aje kufanyaje toa pesa hizo feelings baadae
2026-07-03 22:38:35
0
yaz.lee :
me anamuomba pesa tuu kila siku halafu nampatia na nikimwambia aje kwangu anakubali lakn hajawahi kufika kwangu nami ninampango wa kumuoa au nighari japo ninampenda sana, ni mwezi na wiki moja sasa tangu anikubalie
2026-07-03 21:30:48
0
Kimariolily43 :
me nimeahidiwa nina wiki 2 mpaka sasa sijatafutwa nasijapewa na mm nimeamua kumwacha tuu nanisha pata wakunijal
2026-07-03 22:29:07
0
⚽⚽⚽ KARIMU+243 🇨🇩🇨🇩⚽⚽⚽ :
😁😁😁
2026-07-03 21:29:24
0
To see more videos from user @mr_sele1, please go to the Tikwm
homepage.