@madmarkse: Hii ndio Biashara inayozalisha Mabillionea kwa Kasi sanaa... Ambatana na Mimi, Let's partner and I will help you unlock this Golden Opportunity in Tanzania. . . . #transportbusiness #logisticsconsultant #1billionvision #investintanzania
kumbuka kuna treni za umeme zinajengwa Kwa Kasi bro.
2026-07-24 14:32:39
1
Jombez :
Jichanganye!
2026-07-08 19:14:42
2
Mr_Kilti :
Logistics imekua biashara ya kupasua kichwa , miaka hii ya awamu ya 6. Watu wamenunua Roli na mabus kama mchanga. Kushuka kwa bei kumekuja kwa kasi mno. Kuna watu wana maroli mpaka wamepaki. Ko rahisi kusema Maroli yanalipa ila kama unachukua Roli la financing (mkopo) basi jiandae kupanic maana wenye maroli mengi wanachukua kazi zenye faida ndogo ili wakusanye kwa wingi. So Logistics nzuri ila its headache japo bado madalali hawajakuzima hela , madereva hawajakuibia 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
2026-07-31 11:44:43
1
king_baddie :
bro nmekucheki DM
2026-07-05 05:28:10
2
Abkareem De Lihame :
Kaka Nakucheki Dm
2026-07-05 13:46:59
2
user543097 :
Una maanisha nini kusema logistics haina stress?
2026-07-04 13:45:04
3
VanDon :
Nitakucheck mkuu
2026-07-04 06:35:53
2
Hillary ✨️ :
tunaweza wasiliana kaka tutengeneze game plan
2026-07-04 19:17:31
2
brice_ :
Kila biashara inalipa kwa namna yake, huwezi sema eti logistics haina stress, mzee
2026-07-05 05:17:37
0
the great oxygen :
To nipo hapa from TIN
2026-07-05 19:52:59
0
engmchopa :
namba
2026-07-19 07:34:40
0
Ibrahim.idee :
Leo wanakusikiliza wanaona Kama ni maneno tu . Meet you at the top my brother 💪
2026-07-04 03:44:37
5
To see more videos from user @madmarkse, please go to the Tikwm
homepage.