@sautitv9online: LISU ALIPOKUWA BUNGENI, MJADALA ULIPATA NGUVU. Kwa wengi waliokuwa wakifuatilia vikao vya Bunge, hoja zilikuwa kali, maswali yalikuwa ya kina, na mijadala ilikuwa ya kuvutia. Hili ndilo lilikuwa Bunge la hoja, mijadala na uwajibikaji. Je, wewe unalikumbuka vipi Bunge la kipindi hicho? #Bunge #Siasa #Tanzania #tanzaniantiktok🇹🇿 #FYP
𝗦𝗮𝘂𝘁𝗶 𝗧𝘃9 𝗢𝗻𝗹𝗶𝗻𝗲
Region: TZ
Friday 03 July 2026 22:41:20 GMT
Music
Download
Comments
gipsonimrema :
Alikuwa mbele ya mda huyu
2026-07-04 03:30:27
54
TIKO BOI FX :
😊
2026-07-04 07:27:42
11
Uncle Joo :
its unremarkable
no come back
2026-07-04 04:22:26
14
Lijama linaona mbali duh!
2026-07-04 15:43:37
4
⚖️ :
hili ndio lilikua bunge
2026-07-04 03:38:13
42
@Gssm09 :
Abarikiwe Mama Mzaa Chema 🤲🤲🙏🙏💯💯
2026-07-04 09:12:01
15
gordiusmasillago :
huyu ni chosen one ✌️✌️✌️✌️✌️
2026-07-04 07:16:08
20
MHEKU MWINYIHER🚶🚶🚶 :
dua zishuke kwake mungu azidi kumpa ujasir baba etu kipenzi🤔🤔
2026-07-04 09:29:24
19
Amani Ernest :
hii ilikua ni bunge la katiba mpya 2014. na hati ilipelekwa mbaka bungeni, na kuthibitishwa na wabunge wote. fuatilia viziri.
2026-07-04 17:43:04
0
🐱nyau mnyama🐱 :
akili nyingi sana
2026-07-04 05:11:54
18
Guramali Abbas :
Tutafika tyu 🙏
2026-07-04 07:01:48
5
issaramadhanims23 :
parfect 🦁
2026-07-04 09:45:41
1
denisjrminja :
nani amemuona Samia pale
2026-07-04 15:22:31
1
gershom lewasso :
[Sticker] good man
2026-07-04 08:04:30
3
Ley :
jamaa lina London sana hili sema umri ni namba
2026-07-04 06:54:07
6
ALIAS✨💫 :
2026-07-04 14:08:16
0
salim :
mwamba uyo
2026-07-04 14:09:12
1
jackadolf959 :
Kwa hi video upo sahihi. je na zile.video za kukinukisha mixer kufanya uasi utasemaje
2026-07-04 13:59:04
0
josephathmbwilo73joseph :
hili ndilo lilikuwa bunge sio haya matakataka yaliyopo saizi
2026-07-04 05:46:14
11
hili lilikuwa bunge na tulikuwa tunaangalia sio hil bunge la Taarifa taarifa
2026-07-04 06:39:44
7
chapo :
mmemuona samia lkn
2026-07-04 06:13:24
6
amimu kajanja :
chuma hicho
2026-07-04 05:59:59
5
To see more videos from user @sautitv9online, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.