@kendrick_kalisah: Staa wa muziki wa singeli Tanzania @dullamakabila amewasili Nchini Mombasa usiku huu kwa ajili ya show ya Sauti Swahili Festival itakayofanyika kesho Julai 4 katika ukumbi wa Reef Hotel uliyopo Nchini humo. ✍️ | @kendrick_kalisah 📽 | @@ssb_graphics