kama shetani anaweza kujigeuza na kuwa mwanadamu je,? MUNGU alie muumba shetani anashindwaje kujigeuza na kuzaliwa kama mwanadamu , YESU ALIKUWA NDANI YA MUNGU NA MUNGU NDANI YA YESU , maana hakuna jambo lolote limshindalo MUNGU kama ameumba mambo yanayo onekana na yasiyo onekana atashindwa kuwa ndani ya YESU ,
2026-07-19 14:31:15
3
Silvester Masaho :
shalom my brother
2026-07-11 18:35:33
0
Boanerges Amisi :
Yesu Christu ni bwana na mwokozi wangu
2026-08-28 09:37:02
1
m!cK rUn :
yesu ajawai sema yeye ni mungu na kumbuka yesu huongea kwa mafumbo alipo sema upo na Mimi siku zote unijui ukiniona Mimi umemuona mungu maana yake ni hii maisha ALIYO kua anaishi yesu na moyo alionao yesu ni upendo tupu kwaiyo mungu ni kitu kilicho chema na kizuri je uzuri inaweza kuuona kwa macho hilo ndo jibu la yesu akumaanisha yeye mungu bali mungu ni Yale matendo MAZURI na moyo mzuri na fikra nzuri ALIYO kua ana yafanya yesu kwa jamiii mungu ni jambo lolote zuri limpendezalo JAMII nzima amen AKILI ALIYO TUPA MUNGU NI KUBWA SANA MUNGU ANAJIVUNIA AKILI KWA MWANADAM MAJINI KAWAPA NGUVU LAKINI SISI KATUPA UWEZO WA MKUBWA WA AKILI NA FIKRA
ivo huwa mchanganyikiwa
kwa waisli ulikuwa unasema yesu ni bwana Mungu na mwokozi wa roho zetu sasa imekuwaje inakataa nafasi za Mungu tatu zimedhihirisha katika ufalme na kazi yake yesu
2026-07-22 15:20:31
1
tumainikakore👈 :
🥰🥰🥰
2026-07-27 11:17:44
0
jean marie kasimolya :
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-08-24 18:35:11
0
To see more videos from user @bibliavsquran, please go to the Tikwm
homepage.