@dcea_tanzania: Je, unajua kwamba si kila energy drink ni salama? Katika operesheni ya pamoja, DCEA kwa kushirikiana na GCLA, TMDA na TBS ilibaini na kukamata vinywaji aina ya TRIP Energy Drink vilivyokuwa na kemikali ya THC, kiambata kinachopatikana kwenye bangi. THC inaweza kuathiri mfumo wa fahamu, kuchochea magonjwa ya akili, kuongeza uwezekano wa vitendo vya kihalifu na kuhamasisha matumizi ya dawa nyingine za kulevya. Kabla ya kununua au kutumia energy drink yoyote, hakikisha imeidhinishwa na mamlaka husika. Kataa Dawa za Kulevya, Timiza Malengo Yako. #DCEATanzania #DCEAOnlineTV #KataaDawaZaKulevya #TimizaMalengoYako #creatorsearchinsights
Official DCEA Tanzania
Region: TZ
Saturday 04 July 2026 02:35:27 GMT
Music
Download
Comments
Comfort Lwoga :
Swali zilipita badari ipi?
2026-07-04 16:16:07
74
Riz :
TBS walikuwa wapi wakati zingia nchini?
2026-07-05 09:00:43
42
AK Nizar :
methylated spirit is alcohol...
2026-07-06 17:20:12
0
Beyond videos :
TRIP sio Energy drink na haina THC, ina CBD ambayo sio psychoactive substance. Mmepuyamga hapo!
2026-07-05 19:00:32
9
Victoria GL :
Sasa bangi inashida gani jamani
2026-07-04 19:26:58
13
Nbzy_art👩🏽🎨 :
Like really l,dont we have more pressing matters to tend to?these do nothing!!!!!whyyyyyyyyyyy
2026-07-05 06:04:56
3
Kileo :
Mkuu, kapime chai KT- shop!
2026-07-05 11:27:59
3
amicanasir :
zpelekeni Arusha
2026-07-05 22:01:09
1
Olaedo🍀 :
ziliingiaje bongo hadi kufika supermarket???
2026-07-05 05:16:42
15
user8374813084597 :
kumbe bangi tu hiyo safi msizifungie mi naitaka
2026-07-06 06:40:41
1
"kêñtrõçkër..✊" :
Niko na stock 😅😂🫴
2026-07-04 19:38:53
4
Bibi Cocu :
Naamimi bidhaa zinazouzwa supermaket ndio zinaaminika zaidi kuliko sehemu yoyote sasa ndio nini.
2026-07-05 15:22:27
1
Anko_china :
kwani watu wangapi ninwaraibu wa pepsi
2026-07-05 11:31:13
6
IAN OG 🦺 :
Aseee mmezibeba zote nilitaka carton 🥺🥺
2026-07-05 10:29:49
6
Went Extinct :
hakuna energy drink ambayo ni salama
2026-07-04 19:48:12
5
Marathon Electronics Kahama 🏁 :
KAZI nzuri mkuu
2026-07-04 10:49:17
0
tarimoloveness :
kwisha mm 🥹🥹🥹🥹
2026-07-05 13:07:26
0
cash money 🤑 💸 :
umesema haijaandikwa, sasa mwenye duka atajuwaje kama kuna bangi ndani?
2026-07-06 08:30:41
1
Watu Huru :
Propaganda hizi
2026-07-05 15:15:45
1
user250860255 :
Tuelemishwe kuhusu kemikali zinazotumika katika kutengeneza energy drink hapa kwetu.
2026-07-05 13:35:36
0
khamis :
kazi nzr hongereni sana
2026-07-04 16:08:09
0
mongifrank :
Hata maji yote sio salama
2026-07-04 19:06:38
2
STR33T_RUNNER :
Ziliingiaje Tz
2026-07-05 07:51:27
1
Cy514 :
mmhhh ....
2026-07-04 13:56:51
1
rasmi :
je izo Kilimanjaro kuna nini dani yake??
2026-07-05 03:58:44
1
To see more videos from user @dcea_tanzania, please go to the Tikwm
homepage.