@jeremiahagustino: Ngoswe: Penzi Kitovu cha Uzembe ni mojawapo ya vitabu vya tamthilia maarufu sana Tanzania, kilichoandikwa na Edwin Semzaba. Tamthilia hii inatumika sana katika shule za sekondari kama somo la Kiswahili, ikisisitiza mafunzo kuhusu jamii, uwajibikaji na madhara ya tamaa za kimwili zaidi ya kazi. Nilikuwa nikifikiria kuhusu thamani yake maana inahusiana na maisha ya kila siku na elimu tunayopata. Iko wazi inatoa mazingara mazuri ya kuelewa fikra na hisia za watu wadogo na wakubwa. Una maoni gani kuhusu kitabu hiki? #viral #fyp #foryoupage #tanzaniantiktok/ #tanzaniatiktok

Jeremy😎
Jeremy😎
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 04 July 2026 03:04:20 GMT
1567
107
8
4

Music

Download

Comments

obimo57
Obimo💫👑💸 :
Nimekumbuk mbali Kinyamm😌🥰🥰🥰
2026-07-04 08:36:34
1
scolaisaka832
Scola Isaka :
2026-07-04 06:53:21
1
itsgodson01
PROLIFIC✝️ :
😂😂😂
2026-07-04 06:51:43
1
To see more videos from user @jeremiahagustino, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About