@adv.witness: Did you know that your WhatsApp messages can be used as evidence in court? In Civil Appeal No. 40 of 2022, High Court of Tanzania at Arusha, (2023) TZHC 23291 (13 December 2023), the High Court affirmed the admissibility of WhatsApp communications as part of the evidence after being satisfied as to their authenticity and reliability under Section 18 of the Electronic Transactions Act, No. 13 of 2015. Whether in business transactions, employment disputes, marriage and family matters, debt recovery claims, defamation cases, or other legal proceedings, what you write today may be read in court tomorrow. // Je, unajua kwamba ujumbe wako wa WhatsApp unaweza kutumika kama ushahidi mahakamani? Katika Civil Appeal No. 40 of 2022, High Court of Tanzania at Arusha, (2023) TZHC 23291 (13 December 2023), Mahakama Kuu ilithibitisha kupokelewa kwa mawasiliano ya WhatsApp kama sehemu ya ushahidi baada ya kujiridhisha kuhusu uhalisia na uaminifu wake chini ya Kifungu cha 18 cha Sheria ya Miamala ya Kielektroniki, Na. 13 ya mwaka 2015 (Electronic Transactions Act, 2015). Kwenye biashara, ajira, ndoa, madai ya deni, kashfa (defamation) na migogoro mingine ya kisheria, kile unachoandika leo kinaweza kusomwa mahakamani kesho.#SheriaImerahisishwa #LawMadeEasy #AquilaAttorneys #AdvWitness #whatsappevidence
Adv. Witness
Region: TZ
Saturday 04 July 2026 05:00:57 GMT
Music
Download
Comments
TUKALOLE :
Asante sana wakili
2026-07-04 08:13:48
0
Thina Deriki :
asante tumekuelewa🥰
2026-07-04 06:07:49
1
shamkoma :
ubarikiwe umetuelimisha vyema kabisa dada
2026-07-04 06:44:41
0
♒GIFT :
dah! Asante sana
2026-07-04 05:14:09
1
Traveller :
asante madam
2026-07-04 05:06:33
0
nengo mtafutaji :
kwamsaada
2026-07-04 05:50:34
1
Somebody Jr ⚽ :
⚖️⚖️ubique est 🔥🔥
2026-07-04 07:23:26
0
Nurdin :
Asante advocate msomi tupe elimu
2026-07-04 06:44:06
0
Amour Mtungo :
🤔🌺❤️🩹🤝
2026-07-04 07:31:16
0
🍎 :
😂😂😂😂😂njoooo@bei_nafuu_store
2026-07-04 08:11:40
1
magie♥️ :
🥰🥰♥️
2026-07-04 05:06:25
0
prizegirl1# :
✌️✌️
2026-07-04 06:03:08
0
To see more videos from user @adv.witness, please go to the Tikwm
homepage.