@kiwanoexpress: Hii hapa ni sababu ya kitaalamu kwa nini unapaswa kubadili gia: Ulaji wa Mafuta: Ukiacha gia kwenye 'N', gari inatumia takriban Lita 0.7 kwa saa. Lakini ukiweka 'D', matumizi yanaongezeka mpaka Lita 1.1 kwa saa. Kuzembea kwa Injini: Gari inapokuwa kwenye 'D' huku umekanyaga breki, injini na torque converter zinaendelea kusukuma nguvu. Hii inatengeneza resistance na kufanya injini itumie nguvu (na mafuta) zaidi kukabiliana nayo. 💡 Njia Sahihi: Ukisimamishwa kwenye mataa, badilisha gia lever iende kwenye Neutral (N) kisha utumie handbrake. Gari itatulia na utaokoa mafuta yako! ✅