@little.girl5757: Maisha ya sasa hayataki unyonge. Yanahitaji watu shupavu, haijalishi utapitia mangapi ya kuumiza na kukatisha tamaa. Dunia haina huruma na wewe, lakini endelea na mapambano, ukimtanguliza Mungu kila hatua. Mungu hatakuacha kamwe. Ni kawaida kukutana na siku ngumu, lakini usikate tamaa, endelea kuishi na kupigana kwa ajili ya malengo yako. Acha magumu yashindwe, usikate tamaa, wewe ni shujaa wa kweli. #Ushujaa #Mapambano #Maisha #Mungu #Nguvu