@juice_asilia: ☕ Faida za kunywa chai hizi za asili: ✅ Husaidia kuupa mwili joto na kuburudisha. ✅ Ni chanzo kizuri cha antioxidants zinazosaidia kulinda seli za mwili. ✅ Huchangia kuongeza unywaji wa maji mwilini. ✅ Harufu na ladha yake husaidia kupumzisha akili na mwili, hasa jioni. ✅ Ni mbadala mzuri wa vinywaji vyenye sukari nyingi. Kama umependa video hij usisahau kulike, kufollow na kucomment kunambia ni chai gani unaipenda katika hizi? #chaiyasaakumi #teas #teabenefits #foryou #fyppppppppppppppppppppppp
juice_asilia
Region: TZ
Saturday 04 July 2026 08:01:47 GMT
Music
Download
Comments
Bethly Accessories 🎀 :
Asante hatimae nimepata chai ya saa 10🤣
2026-07-04 11:32:55
8
keyfania :
kwahy tunakunywa zote jion au sijaelewa
2026-07-05 08:52:05
1
Evarist Massawe :
chai ya chamomile
2026-07-06 13:24:00
0
.....🌸💃🍫.... :
mchai chai je
2026-07-04 16:49:56
2
Tee.#0045 :
I follow the procedure from today onwards
2026-07-06 13:11:17
0
JB Fashion❤️ :
ongeza no.9 karafuu mdalasini na tangawizi mbichi...ndio ntakua nanywa saaa🥰🥰🥰
2026-07-05 05:20:20
2
Chatma Farm :
Nakunywaga #4
2026-07-05 12:48:26
0
beautiful :
nahitaji kujua hiyo
2026-07-06 11:48:02
0
Angness Agness nyantori :
AMINA ❤️❤️
2026-07-06 18:34:26
0
Aisha Said :
no nzuri hasa kwa wenye umri kuanzia miaka 30 kuendelea
2026-07-05 15:42:54
0
money.luvs.me :
nyege shindiliii izi chaii kasoro number 2 na 3
me staki kbs 🤣🤣🤣🤣
2026-07-06 12:59:15
0
Leyla Jaan ♋️ :
mm hupenda chai ya rosela lkn hutumia teabag badala yke
2026-07-05 21:25:46
0
Rahma :
Asante kipenzi
2026-07-04 18:05:50
1
beautiful :
inapatikana wapi
2026-07-06 11:48:43
0
️Nono Luxe✨🛍️ :
Unachemsha au unaloweka?
2026-07-05 05:20:56
0
halimaselemani175 :
jina la wimbo
2026-07-04 15:36:22
0
@Smile :
veep na sukar unaeka au veep
2026-07-04 14:13:33
0
Abbynel :
natamani hii chai ya maganda ya palachichi
2026-07-06 18:22:34
0
suesh.2 collection0 :
😂😂😂
2026-07-04 11:05:38
1
Winnie :
😳😳😳
2026-07-04 18:19:57
0
Heavenjuicery :
❤️
2026-07-06 05:49:50
0
Miss lee Michelle :
🥰🥰🥰🥰
2026-07-04 10:41:48
1
To see more videos from user @juice_asilia, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.