@ummahinspire1: #creatorsearchinsights Mbali na ujumbe wenyewe, tunajifunza jinsi ya kufundisha. Luqman anatumia lugha ya upendo na huruma ("Ehee mwanangu!" au "Yaa bunayya"). Hii inatufundisha kuwa malezi bora yanahitaji urafiki, hekima, na lugha laini, si kufoka au kutumia nguvu kila wakati.