@e.munyugu: Mshirikishe baba zaidi kuliko mama hasi unapokutanq na changamoto za mwanaume uliyenaye. #father #daughter #daddy

Eliabu Munyugu
Eliabu Munyugu
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 04 July 2026 09:25:15 GMT
9708
582
48
47

Music

Download

Comments

deeh2091
It’s deeh🌹 :
Me naongea na baba sanaaaaa nahua namuelewa sana
2026-07-04 14:37:42
12
easterndebby
star girl🌸 :
me nambiaga baba kila kitu he saves me from a lot 😅
2026-07-06 07:41:49
1
salomeelia265
Salome Elia @gmail.com :
sio kwa baba yangu mm😅
2026-07-04 16:34:57
7
celinekim_store2
Celinekim :
Kweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-07-04 18:00:57
1
user8601383429637miss
Quina da rei :
ni Mimi uyo
2026-07-05 12:23:55
1
misonge85
gift misonge :
ni kweliiii kabisaa bro
2026-07-05 16:03:25
1
aneth.baton
Aneth Baton :
nakuelewa sana...
2026-07-04 18:01:52
2
businesscoach6
business coach :
nipo na baba karibu lkn siwez kumwambh hayo
2026-07-04 13:45:54
12
user5332169016724
debora mkulu :
kweli kaka
2026-07-04 13:06:39
1
jackysokhocollection
J Bobbie Collection🛍️👗👠👔 :
😂😂🙌toba
2026-07-04 15:59:22
1
fyfypeny6699
fyfy🦋peny_ trendstore :
Ww baba zetu wakali sana😞
2026-07-04 21:57:27
5
user86515976325833
user86515976325833 :
Mie mama angu jamani kiliponilamba akanambia nikwambia mwanangu hukuskia Mimi nilijua😂🙌🏾
2026-07-07 15:33:16
1
grase600
G….❤️🦋 :
Kaka angu aliniambia yule mwanaume sio na kwel😁
2026-07-07 09:38:21
1
gner.collection
G'ner collection 💯 :
calling my papa 😁
2026-07-04 09:53:14
3
miss_mwiga05
miss_mwiga05 :
Hata kaka jaman 🙌🙌
2026-07-04 15:06:16
2
iddamom2
Idda❤ :
Hii nikweli
2026-07-04 10:03:02
1
ramrajj1
RAMRAJJ🦋🌹 :
hii n kwel mimi hua naongea sana na baba na uzur wa kushauriwa na baba huwa hawatumii hisia anatumia akili🥰😌
2026-07-05 09:20:45
1
businesscoach6
business coach :
2026-07-04 11:54:48
1
gee54554
Gee🇹🇿 :
hakikaaa i have a testimony
2026-07-04 14:05:36
1
ms_lagati
Ms_Lagati :
Tangia nianzange kumshirikisha nimekua na hakili saana 🤝
2026-07-08 12:37:55
1
user3965876754687
mama Hamsham :
kabisa
2026-07-07 13:00:13
1
tedynard
Tedynard :
Me na babangu tulivyo mashost sasaa uwiii mpaka raha 😂😂nikichitiwa nasemelea kwa baba 🥰🥰
2026-07-05 07:42:39
1
herrymummy
boss@mamy :
ndo maan baba angu aliniambia nikipata kijana ni mwambie
2026-07-04 19:13:58
1
elizabethclever6
Betty🦋🦋 :
aiseee baba angu alikuwa upande wang kwenye kesi ya mahusiano hata aambiwe vipi alisimama upande wang,,,kuna wakt aliambiwa mimi malaya alimkatalia mwanaume nakumuambia namfahamu mwanangu vizur labda uniambie anamajibu ya ovyo ndakuelewa,,,,rest easy my dady
2026-07-04 11:10:19
4
To see more videos from user @e.munyugu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About