Bahari ni HATARI… 🌊⚠️lakini mabaharia hawaachi kufanya ubaharia. ⚓🛳️Kila wimbi lina hatari,
kila safari ina changamoto…
lakini moyo wa baharia haujawahi kukata tamaa.
Wengine wanaona maji tu,
lakini sisi tunaona maisha, kazi, na ndoto zetu. 🚢🔥
⚓🛳️STAY SRONG ON THE WAVES 🌊⚓🛳️
2026-07-04 13:02:29
7
momo fa🌿og :
yn naogopa km mm ndo nipo hapo
2026-07-04 10:57:52
0
G warawara01 :
kibabake yaani ni humu tuuuh
2026-07-05 20:15:27
0
🍁 reyner :
au sio😂😂😂
2026-07-04 10:12:39
0
Wizzy sailor ⚓️ :
😂😂😂
2026-07-05 09:16:36
0
Simba🦁 :
😂😂😂😂😂
2026-07-05 14:33:57
0
shakiratz :
🥰🥰🥰
2026-07-06 17:50:08
0
To see more videos from user @mobalaa, please go to the Tikwm
homepage.