@manhajonlinetv1: ⚠️ KELELE ZA MAANDAMANO: JE, UNAIJUA NJIA YA WAFANYA UFISADI KATIKA ARDHI - ZINDUKENI ENYI WAISLAMU! 📺 Katika video hii, Sheikh Dr. Khamiis Imaam حفظه الله anazungumzia suala muhimu la Usalama na Amani katika jamii yetu. Kumekuwa na sauti na kelele za watu wanaohamasisha maandamano na fujo, wakiahidi hata kuharibu mali na kuchoma Nchi. Je, sheria yetu ya dini ya Kiislamu inasemaje kuhusu jambo hili?. 🔥 Tahadhari kwa Vijana: Nasaha kwa vijana wetu (Gen Z) wasikubali kutumika katika mipango ya kuharibu nchi na kuleta shari. _______________________ 📺 Ungana nasi kupitia: @Manhaj Online TV // @Manhaj Media Pro 📡 Instagram | YouTube | Facebook | TikTok | X