@shadywanarok: Kama bwana aweza kutumia kila kitu, Mwambie akutumie leo, Mpe moyo na maisha yako yote, Na wala sio nusu , Mwambie nitumie bwana, Leo hii na wala si kesho , Leo hii Tumsifu bwana lyrics by @Christina Shusho swn lyrics #naroktiktokers🥰😂💯 #fyppppppppppppppppppppppp #maasaitiktokers #fyp #viral