@rashidramadhani1: UKWELI MCHUNGU📌"Je! Bado haijafika wakati kwa wale walioamini, mioyo yao kunyenyekea kwa ajili ya kumdhukuru Mwenyezi Mungu?" [Surat Al-Hadid: 16]ALLAH anatuuliza: "Ni lini mioyo yenu itanyenyekea kwangu?"Wengi wetu tunaswali, lakini mawazo yetu yapo kwenye Mipira, Simu, Kazi, Tiktok, Instagram, Facebook n.k...Huu ni ukumbusho tu wa kurudi kwa Mwenyezi Mungu kwa Moyo kamili, sio tu kwa mwili.
Rashid Nuru
Region: TZ
Saturday 04 July 2026 14:03:08 GMT
Music
Download
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @rashidramadhani1, please go to the Tikwm
homepage.