kijana nakuomba sana umsamehe ila usiache Imani makanisa yako mengi sana
2026-07-04 19:55:02
10
Shaaa :
Karibu kwenye uislaam Usome na uuchunguze afu tunakukaribisha ☺️🥰
2026-07-05 06:31:15
2
Richard kaburu1🇿🇦 :
anachokisema ni sahihi hasa makanisa ya kilokoke🙌🙌
2026-07-05 05:38:23
2
ZERO BRAIN 🧠 :
mambaz 24 we live our lives
2026-07-05 04:46:24
2
Professor Mkesha :
Me nakuelewa sana
2026-07-04 14:36:12
5
usesaraphinaruniganwesar :
msamehe bure,nauwasamehe bure, karibu kanisani kwetu pcc kwa mch Moses Magembe atakusaidia kiroho na hayo maumivu ustawishaji,hata mimi aliifundisha maumivu yalishakwisha,nanilishafanikiwa kiroho na kimwili.karibu! pole.
2026-07-04 16:27:26
6
PRINCE JAFFERY PLATNUMZ :
hiyo ni PUA
2026-07-05 11:45:53
0
GR star :
karibu kwenye uislam hata ukitoa buku unabarikiwa hatausipotoa ukiomba dua NI nabaraka tele
2026-07-05 08:14:15
1
Ester ✨ :
EAGT jamn 🙌🥹
2026-07-05 05:34:31
1
kelo kama kelo :
pole sana
2026-07-04 20:24:38
1
💛💛 :
samehe, alafu dili na neno la MUNGU
2026-07-05 14:08:42
0
Edna Godwin :
asa unamwambia nani?
2026-07-05 12:11:32
0
Adonis Minga📈 :
mjue Yesu
2026-07-05 10:06:59
1
Rachel Gao :
Watumishi wasioelewa thamani ya mwanadamu mtalipia kuweni makini.. MUNGU alimkomboa mwanadamu kwa Damu ya thamani NYIE mnapoteza kondoo kwasababu hamjui thamani ya mwanadamu.. mtalipia hii nafsi iliyopotea ni HATARI SANA
2026-07-04 22:23:27
2
aarongozbert :
achana nao wapendwa wengi wanafiki
2026-07-04 19:53:03
1
Judith ✝️ :
kaka muombee Mungu sana akukutanishe na Mtumishi wa kweli
2026-07-04 15:41:31
2
user3888183063825 :
karibu sabato kaka
2026-07-04 20:18:50
1
abuu abduli wahabi issa :
kalibu kwenye uislamu
2026-07-05 06:24:05
1
Sadick hussein :
kwani ukitoa unahalibu
2026-07-05 05:18:58
1
To see more videos from user @edgaroscar49, please go to the Tikwm
homepage.