@mchajionly: 🚨 PENATI AU SIYO PENATI? 🤯 Fainali ya Azam 🆚 Simba imezua mjadala mkubwa! Wewe unaonaje, mwamuzi alikuwa sahihi au alikosea? Toa maoni yako! ⚽👇 #AzamVsSimba #PenaltyOrNot #TanzaniaFootball #FYP #ViralVideo
MCHAJIOFFICIAL TZ
Region: TZ
Saturday 04 July 2026 14:37:30 GMT
Music
Download
Comments
abigaelkivuyo :
2menunua kwa babu yak ama
2026-07-04 17:35:27
2
Mahinya :
hii ni faul
2026-07-05 03:23:08
0
MSBH :
no penalty
2026-07-04 18:22:46
0
kihwelo kihwelo :
penalty apo kamdanganya refa..
2026-07-04 18:29:48
1
naah sahery💔❤️⚘️ :
kwishaaaa
2026-07-04 16:33:36
0
last born :
rushwa ad kwenye ball
2026-07-04 21:41:56
0
Fredy Felix :
no penalty apo kamdanganya refa..
2026-07-04 17:45:24
0
Sofia kassim :
bad ujasem
2026-07-04 17:44:32
0
MPOMA BHIVA NUKUMENEKA.leonard :
asa anadondokq ameshaachiwa
2026-07-04 15:32:24
0
Zubeda Almas :
penati
2026-07-04 21:10:44
0
Haack@99 :
hii ni kona fala wee
2026-07-04 19:53:06
0
kige :
siy penat
2026-07-04 18:23:16
0
pr.raida :
nje ya penalty area
2026-07-04 17:47:23
0
Benedict :
hata Mimi yanga ila hii sio penati kabisa
2026-07-05 00:15:28
0
J.Mutuka :
Me yanga ila hii!. Syopenati
2026-07-04 17:46:30
0
sharhoo 2491588629933 :
sasa iyo si ipo nje ya box
2026-07-04 20:54:26
0
Footballer girl 🤗🤗 :
Cy penalty ila ni foul hapo kwa mstar but kiujumla wamenunua match wakikaaa😅😅😅😅
2026-07-04 18:34:25
0
Ali Khamis :
SIMBA MBELEEKOOOOOO
2026-07-04 17:47:20
0
🌸Marsy🍁 :
wamenunua kwel
2026-07-04 16:52:11
1
JAY KATZS :
nunua na ww
2026-07-04 16:28:10
0
Litimuu :
penalt ya wazi hyo achen kujitoa akili
2026-07-05 04:31:28
0
John samson :
faulo shekhe
2026-07-04 17:01:52
0
libasse gueye :
hujui mpira
2026-07-04 16:39:15
0
NYONI :
kaweke mwanetu
2026-07-04 16:45:15
0
BABA GRACE :
wamenunua iyo
2026-07-04 18:13:46
0
To see more videos from user @mchajionly, please go to the Tikwm
homepage.